Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Wivu wa kike tu kutoka kwa huyu shoga watu sio wastaarabu kabisa humu kuna ndugu zake jamaa nk kwa nn uje na kauli chafu hivi kwa marehemu kama sio wivu?Kwan ww hutaki binti Yako aolewe na tajiri?
Kuzalia nyumbn kwa binti yake Kuna shida Gani?
.Acha ujinga yaani umekaa siku nzima umeona hichi ndio Cha kuja kuandika humu?