Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Hivi yule mtoto Jide alim'adopt alikuwa anamuonesha sana kwenye kipindi chake iliendaje?Mimi nilikua nafuatilia kipindi cha reality show yake yeye na jide Eatv
Alikua ni mkimya na msikivu, sio mwanaume mkorofi
Naona alikua anaishi kama vile hakuna kesho yeye nikuenjoy tu
Kitu kikubwa nilichojifunza kwake ni kufurahi muda wote..!