Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Weka nawewe jina lako halisi tukague matendo yako jinsi ulivyo Malaika.
Umekaa hapo na Fake ID huna Aibu unaanza kumsakama marehemu!!!?
Waliokulea Mungu awasamehe.
Hapna. Bhna gadner wenu hakuwa mtu sahih Kama wqtu wanavyo Seema jamaa alionesha ujinga wake hadaharani bila kujali na akashikilia msimamo wake
 
Unajenga vipi sehemu ambayo hauishi?
Mwanaume huwezi kwenda kwenu likizo ama kusalimia ukaingia nyumba ya mwanamume mwingine mfano kaka yako ama baba yako ambae amejenga huko. Mwanaume lazima uweke alama ya kudumu kwenye ardhi ya kwenu.

Unadhani kwa nini wahindi wanaishi hapa Dar na kufia hapa hapa Bongo lakini maendeleo wanafanya kwao India na hawajengi Bongo?
 
Kwani alikuwa hamkojozi?? Hujui ubalozi wa pombe analipwa na Ile ni kazi? Pale alitumiwa tafsida na ni baada ya Jide kumchokoza sana, akajibu yeye hana kinyongo nae na akumbuke alimkojoza for 15yrs, which is true... Baada ya pale jide akili ilimkaa na mpaka anafariki walikuwa marafiki wazuri
Unajua uharamu wa pombe? Huko aliko anajuta sasa
 
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
Catpin wa jeshi lipi
 
Mwanaume huwezi kwenda kwenu likizo ama kusalimia ukaingia nyumba ya mwanamume mwingine mfano kaka yako ama baba yako ambae amejenga huko. Mwanaume lazima uweke alama ya kudumu kwenye ardhi ya kwenu.

Unadhani kwa nini wahindi wanaishi hapa Dar na kufia hapa hapa Bongo lakini maendeleo wanafanya kwao India na hawajengi Bongo?
Kwangu ni ninapoishi,huko ni kw wazazi nitaenda kuwasalimia ,tajenga napoishi mimi,wao tawapa Msaada wa kifedha ni mingine wakihitaji,
 
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
Acja uchawoi mzee baba
 
sioni ubaya kumnenea mazuri mwanao! hata mimi nasema mwanangu ataolewa na tajiri! mengine mipango ya Mungu. Kwa hiyo we unapenda kusema kuwa mwanao ataolewa na jangiri/jambazi? mmnenee mema mwanao.
 
Keshatangulia mbele ya haki; mwacheni apumuzike. Kama kuna ya kujifunza kutokana na maisha yake tujifunze ili yatusiadie tuliobaki lakini tusimlaumu marehemu akiwa kaburini kwani hawezi kujitetea.
Nyerere
Mwinyi
Mkapa
Magu

Tumewahi kuwatetea hivi kuwa wasisemwe?
 
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
World 🌎 corrupted
 
Mkuu kuwa maarufu haikutenganishi na kuwa na tabia kama za watu wengine ,tabia zake kama binadamu wengine hazimfanyi kuwa mtu boraa kama ambavyo kila kada wamemzungumzia mkuu,Suala la kuolewa kwa Binti yake anaamua Mungu,so si swala lake ,naa mambo mengi aliyofanya kwenye jamii yanafunika mapungufu yake kama ambavyo ,mimi na wewe tulivyo
 
Back
Top Bottom