Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Mtoto wa kike sio wa kumuwekea dhamana, atakuaibisha. Wewe hope for the best from her ila ukiweka 100% expectation utaishia kupata sifuri.

Marehemu hakua na hela yoyote jana ndugu yake mmoja alikua anamponda kwamba hata kwao hakujenga.

Mwanaume yoyote unaejielewa ukipata pesa cha kwanza ni kujenga kwenu.

Apumzike kwa amani.
Kazi ya kujenga kwao ni ya baba yake.
 
Sijaona kosa lake hapo!!
Ndivyo alivyoona inafaa!

Mengine siyo laana ni nature imeamua!

Unaweza kuolewa na maskini lakini ni tajiri was kesho!

Au ukaolewa na anaeoonekana ni tajiri lakini ni maskini was kesho!

Mali ni kiumbe hai Ina macho,masikio inaweza kuchoropoka wakati wowote!
 
Nss

Ndio lkn siwezi kutoka hadharani
Hutoki hadharani sababu ipo wazi.
Yaani ni sawa na binti wa shule mwenye ujauzito hawezi ulizwa kama kawahi kufanya ngono, swali analoulizwa ni kafanya na nani. Suala la kufanya ngono lipo wazi.
 
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
Ni ndoto zake binti yake aolewe tajiri, mbona huku kitaa wababa wengi wanapenda mabinti zao waolewe na matajiri sema wanajifanya kutoongea, hata kwenye familia wanaoheshimika ni walioolewa na matajiri. Marehemu amekuwa muazi
 
Mtoto wa kike sio wa kumuwekea dhamana, atakuaibisha. Wewe hope for the best from her ila ukiweka 100% expectation utaishia kupata sifuri.

Marehemu hakua na hela yoyote jana ndugu yake mmoja alikua anamponda kwamba hata kwao hakujenga.

Mwanaume yoyote unaejielewa ukipata pesa cha kwanza ni kujenga kwenu.

Apumzike kwa amani.
Unajenga vipi sehemu ambayo hauishi?
 
Back
Top Bottom