Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

sio mbaya kwa yeye kusema hivo ..alitambua jinsi gani umasikini unavyodhalilisha na kushusha heshima ya mtu ..hata wanawake wanalijua hilo kuwa kuolewa na mtu masikini ni kama ajali..
Jidanganyeni tu sawa lkn Ni vzr kuwaza hvyo Ila siyo sawa kwa mzazi kutoka public nakuanza kusema huna pesa usije kwangu SAS mbna bint ake kazalia nyumbani ameshachukia tiketi ya usingle maza
 
Kwa akina gardner ni wapi? Tanga, dar au rombo? Huyo anayemponda alitaka ajenge rombo? Why?

Tunaropoka sana aisee

Mwanaume wa maana ni mwenye sustainable income na strong family ties
Alafu sio kila mtu kazaliwa kijijini..jamaa mzee wake alikuwa afisa maji pale tanga mjini, jamaa kazaliwa tanga mjini sasa sijui ajenge wapi? Sio kila mtu kazaliwa kwenye nyumba ya majani bwana.
 
Alafu sio kila mtu kazaliwa kijijini..jamaa mzee wake alikuwa afisa maji pale tanga mjini, jamaa kazaliwa tanga mjini sasa sijui ajenge wapi? Sio kila mtu kazaliwa kwenye nyumba ya majani bwana.
Watanzania tuna ushamba Mwingi sana
 
😂😂😂😂😂

Apumzike Kwa Amani.

Wakati anatoa kauli Ile ilileta mjadala mkubwa saana. Wengine walisema kamdhalilisha jide wakisahau kuwa jide kila wimbo alikuwa anamuimba wengine walimsifu
Kukojoa jide alikua anakojoa
Gadner alimvumilia sana jide
Ile reality show nilikua namuonea huruma G
Anafanyiwa visa mbele ya kipindi wote tunaona anajibiwa jeuri na jide, anafanya kazi za nyumbani kwa kuamrishwa na jide
 
😂😂😂😂😂

Apumzike Kwa Amani.

Wakati anatoa kauli Ile ilileta mjadala mkubwa saana. Wengine walisema kamdhalilisha jide wakisahau kuwa jide kila wimbo alikuwa anamuimba wengine walimsifu
Ila abaada ya kutoa ile kauli jide alirudisha makombora nyuma aliyokuwa anayarusha kwa gadner
 
Kukojoa jide alikua anakojoa
Gadner alimvumilia sana jide
Ile reality show nilikua namuonea huruma G
Anafanyiwa visa mbele ya kipindi wote tunaona anajibiwa jeuri na jide, anafanya kazi za nyumbani kwa kuamrishwa na jide
Sikubahatika kuitazama. Ila sijui hivi SASA hivi jide akisiliikiiza nyimbo alizomuimbia jamaaa sijui anahisije
 
Ila Waja khaaa .......Mtu kashakuwa marehemu ila bado una nongwa, utadhani umaskini ni sifa. Sasa mtoto azalie kwa baba ake wewe huku upate mtoki. Acha hizo mwacheni baba wa watu apumzike chukueni mema yake mabaya muachieni mwenyewe.
 
Wivu gani Sasa nilio nayo kwake ,Ni ujinga mzazi kuja public , hadharani na kuanza kutamka maneno yaki puuzi hadharani ,daima tutamkukbuka marehemu kwa mabaya na mazuri yake

Kama. Wako ndugu zake hapa waumie vilivyo wajue tu kuwa ndugu Yao alikuwa miyeyusho sna
Kwani imekuuma ee!?
 
Kwahiyo UNAUMIA sana marehemu kupewa sifa kede kede? Ukaona hapa haiwezekani ngoja na wewe umwage mabaya yake kede kede?........ Mkuu ukizeeka utakuja kuwa MCHAWI WEWE
Niwe mchawi Mara ngapi
 
Ila Waja khaaa .......Mtu kashakuwa marehemu ila bado una nongwa khaaa!? sasa mtoto azalie kwa baba ake wewe huku upate mtoki. Acha hizo mwacheni baba wa watu apumzike chukueni mema yake mabaya muachieni mwenyewe.
Tutayabebe yote yote hata hil la kumsema jide kuwa alimkojaza for
good 15yrs hatuwezi kuliacha 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom