Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
Apumzike kwa amani umbeya atutaki amjasema akiwa hai awajibu mnaropoka hana pa kujiteteeeaaa stoppp
 
Apumzike kwa amani umbeya atutaki amjasema akiwa hai awajibu mnaropoka hana pa kujiteteeeaaa stoppp
Atatetewa na ndugu zake ,Ni ujinga mzazi Kuja hadharani na kuanza kuongea ujinga wa namna ile
 
Wivu gani Sasa nilio nayo kwake ,Ni ujinga mzazi kuja public , hadharani na kuanza kutamka maneno yaki puuzi hadharani ,daima tutamkukbuka marehemu kwa mabaya na mazuri yake

Kama. Wako ndugu zake hapa waumie vilivyo wajue tu kuwa ndugu Yao alikuwa miyeyusho sna
 
Khaaah hili nalo ungeacha lipite kumuanzishia Uzi marehemu ili mradi hawezi soma tena ya Nini
Ndugu zake watamtetea si wako hai mm siwezi kuona marehemu akipewa sifa zote nzuri ili Hali Kuna maeneo mengi ametuachia taharuki
 
Hakuna binadamu aliye na mabaya tu akakosa mazuri. Na kistaarabu mtu anapofariki tunasema mazuri yake tu. Mabaya yake tunamuachia yeye na Mungu wake.
Hapan uo Ni unafiki mkuu ,marehemu hakuwa mtu wa kujali kaulinzake za hadharani Hili hakitapoteaa kamwe
 
Mmmh aliiiiìiii ..shemeji nn mbona wamchukia hivyo sisi katigongea madada zetu mbezi Beach na bado tumekomaa
Wala simchukii marehemu mm ila tu nashangazwa na sifa kedekede anazo pewa
 
Ukiachalia mbali saut mengine marehemu hafai kuigwa kwa lolote
We ni kyuma sana..kwani marehemu unafahamiana nae mpaka umpondee...wabongo tunashida sana jamaa alikuwa humble na kasaidia wengi kama vp kufa na wewe tuone nani atakukumbuka..kula pombe hiyo ni personal life ya mtu.
 
sio mbaya kwa yeye kusema hivo ..alitambua jinsi gani umasikini unavyodhalilisha na kushusha heshima ya mtu ..hata wanawake wanalijua hilo kuwa kuolewa na mtu masikini ni kama ajali..
 
We ni kyuma sana..kwani marehemu unafahamiana nae mpaka umpondee...wabongo tunashida sana jamaa alikuwa humble na kasaidia wengi kama vp kufa na wewe tuone nani atakukumbuka..kula pombe hiyo ni personal life ya mtu.
Kati yangu na mama ako mwenye kyuma Nani ,ukisha juwa Hilo usitukane snaa watu
 
Marehemu alikuwa balozi wa pombe kiufupi hafai kuigwa na matokeo ya ulevi wake ni pale alipotamka hadharani kuwa kamkojoza lady jay dee miaka 15
Kwani alikuwa hamkojozi?? Hujui ubalozi wa pombe analipwa na Ile ni kazi? Pale alitumiwa tafsida na ni baada ya Jide kumchokoza sana, akajibu yeye hana kinyongo nae na akumbuke alimkojoza for 15yrs, which is true... Baada ya pale jide akili ilimkaa na mpaka anafariki walikuwa marafiki wazuri
 
Back
Top Bottom