Hakika...na hutoweza yarudisha kinywani maana uliyemtamkia kayatunza tayari moyoni.....UlimiUsipokuwa na akiba ya maneno, mwisho wa yote huwa ni kujiabisha na kujidhalilisha tu.
Wanajuana kwa vilemba.Nashngaaa mijittu inamsifia na kumpa sifa kedekede mtu asiye fah kwenye jamii
Ipo tu akijitulizaKwani chance ya kuolewa na tajiri ishafutika?
Kabisa,, unakuja kuanza kuhisi hatia tayari is too late.Hakika...na hutoweza yarudisha kinywani maana uliyemtamkia kayatunza tayari moyoni.....Ulimi
Ana watoto wawili acha uongo mwingine ni WA kikeHii picha haina shida yyte huo ni upendo wa baba kwa binti yake kumbuka huyo ni mtoto wake pekee Hana mtoto mwingine.