Marehemu Kanumba uliondoka na Bongo Movie yako japo ndiyo ulianza kuichangamsha

Marehemu Kanumba uliondoka na Bongo Movie yako japo ndiyo ulianza kuichangamsha

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao.

Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani.

Huku umetuachia wajinga wengi mpaka wengine wamekuwa wanyekiti wa misiba na mbwembwe.wapo wachache wenye kutimiza ndoto zao ila ni wengi waliojaa ujinga kutokubali ukweli.

Uliwabadilisha watu kujua umuhimu wa sanaa.

steven.jpg

View attachment 2484503
Kwa sababu tunapenda sana marehemu, ila siku hizi wameimprove sana.
Nikitazama juakali, zile shots za mule zinazo capture emotions na details, facial expressions nakili kuwa lamata anajitahidi sana katika kudirect. Anajua kucheza na shots hasa mimi napenda zile shots zinazofocus kwenye facial expression za mhusika.
 
Kanumba alikua anatuonyesha maisha ya videoni ambayo tuliyatamani ndo maana wengi bado wanamsifia. Ila sanaa tamu zilikua za akina kaole,mambo hayo etc
 
Kanumba kakala ka lulu kakiwa bado kadogo..akienda kwao kukachukua behind the scenes unakaaingilia.
 
Back
Top Bottom