Humjui kanumba au huijui sanaa.Kanumba mwenyewe overrated tu
Wenye bongo movie yao wanasema haijafa.
Humjui kanumba au huijui sanaa.
Kwa sababu tunapenda sana marehemu, ila siku hizi wameimprove sana.Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao.
Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani.
Huku umetuachia wajinga wengi mpaka wengine wamekuwa wanyekiti wa misiba na mbwembwe.wapo wachache wenye kutimiza ndoto zao ila ni wengi waliojaa ujinga kutokubali ukweli.
Uliwabadilisha watu kujua umuhimu wa sanaa.
View attachment 2484503
NakaziaKanumba mwenyewe overrated tu
ulifanya utafiti ? tupe reference ya utafiti wako no research no right to speakJamaa alipoondoka Bongo movie nayo haikuchukua round ikamfata huko huko