elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
-
- #21
Imenibidi ni u download huu wimbo jana, yani bado mkali kama umetengeneza jana na ile style yake ya rthym za bass jamaa alikuwa mkali sana.Hivi Complex mpenziwe si alikuwa ni Vivian ama! au Tilya ni jina lake pia?
Roy RIP alitisha sana na G2 yake enzi hizo...yaani kina Tonya Mbili kipindi hiko walibamba sana kupitia mkono wa huyu jamaa. Kila nikisikiliza "Siamini" ya Matonya lazima inijie taswira ya huyu jamaa aise.
Yah watu uwa wanadai ngoma.roy mshkaji sana wakati anafanya kazi G record pale chang'ombe alikuwa anatupigisha sana story akipita.. wakati huo sisi wadogo...
nakumbuka mpenzi wake alikuwa jirani yetu chang''ombe walifariki mfululizo hawa watu waswahili wakawa wanasema ukimwi
G2 walitisha saaaaaaaaaaana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu Roy ni nani...wengine tuliingia mjini mwa mbio za mwenge kwa kuchelewa.
Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.Cinderela,Nakshi Mrembo,Siamini,Mapozi,Blu blu zilikuwa nyimbo za taifa kutoka kwenye mikono salama ya Roy.
Hahaha uliitoa au ulizaa?Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
Usiwasahau akina mikamwamba na akina prof ludigo aliyetengeneza hii leo, tutakukumbuka, na ngoma kibao toka mj records na bongo recordsNamba Moja p.funk anakuja Roy akuna tena
mikamwamba..alitengeneza ngoma moja inaitwa tamala...cjui ya nani....hatar kwa vinandaUsiwasahau akina mikamwamba na akina prof ludigo aliyetengeneza hii leo, tutakukumbuka, na ngoma kibao toka mj records na bongo records
Hard mad yani huwa haikosi kwenye playlist yangu.mikamwamba..alitengeneza ngoma moja inaitwa tamala...cjui ya nani....hatar kwa vinanda
Nilizaa.Hahaha uliitoa au ulizaa?
Hivi wimbo wa Sina demu wa B Boy alitengeneza huyu Roy?Hard mad yani huwa haikosi kwenye playlist yangu.
Siko na hakika ila nahisi atakuwa mj.Hivi wimbo wa Sina demu wa B Boy alitengeneza huyu Roy?
Hahaha safi sana kama monalisa na mama yake enzi za ujana waoNilizaa.
Nina jembe langu la ujanani, nikifatana nalo utajua mdogo wangu
xanteee mkuu.....disco toto ngoma ilkuaga haikosi hiiHard mad yani huwa haikosi kwenye playlist yangu.