Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Snoop Lee yuko UK bado?
 
Cinderela,Nakshi Mrembo,Siamini,Mapozi,Blu blu zilikuwa nyimbo za taifa kutoka kwenye mikono salama ya Roy.
Nlikua sijui basi kama ni hivyo jamaa namnyanyulia
Cinderela,Nakshi Mrembo,Siamini,Mapozi,Blu blu zilikuwa nyimbo za taifa kutoka kwenye mikono salama ya Roy.
Nlikua sijui basi kama ni hivyo jamaa namnyanyulia mikono [emoji119]
 
Dah umenikumbusha mbali sana.
 
Dah umenikumbusha mbali sana.
 
Umesahau ya Jua kali... Niimbie
 
Yes sema baadhi ya mashairi yamenitoka maana kipindi nadhani the late Ngwair alikuwa ametoa Eastzoo na ngoma lake Ghetto langu lilikuwa mwiba kisha hewani unaskiliza Ingekuwa vipi ya Mwanafalsafa na Mo mbakiaji
Hizi ndo ratiba zetu everyday
P, snalee na ngwair twasaka pay
Tukiwa kwenye mic ubitoz usituletee
Twakomaa na mziki ili maisha yaendelee.

Gheto langu dah nilikuwa nkisikiliza mashairi ya ngwait over naliona gheto kabisa.
Umenikumbusha east zoo, chamber squad akina noorah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…