Demo nimeproduce mwenyewe, nilitafuta presenters, watu wa video show ikamalizika.
Mwendelezo wake upo maana nimeandika vipindi 34 ninavyo on paper.
Mkuu naombaa kuuliza, kwani mtu hawezi kufikisha bidhaa malangoni pao.Shida kubwa kwako ni how you will be noticed kwamba umefanya kitu cha tofauti cha kuthaminishwa hivyo, do your home work.
Mkuu naombaa kuuliza, kwani mtu hawezi kufikisha bidhaa malangoni pao.
Ahsante mkuuUelewa wako ni mdogo sana! Who will take that trouble?
Kwa nini usijiongeze hata uanzishe youtube channel urushe vipindi vyako vya kipekee, kama content itakuwa nzuri utaweza kupata watazamaji wa kutosha na kujiingizia kipato. Suala la ku suggest "ulidanganywa" na marehemu ni suala la kipuuzi unatakiwa uishi kuendana na uhalisia, kwa sasa Youtube ndio imekua central point ya maudhui hususani ya mtindo wa video, changamsha akili, ubongo usigandeVina ubora na maudhui ya staha kwa asilimia 100.
Kuna alot of myth kuhusiana na ulipaji wa youtube hakuna tofauti na stori za biashara ya matikitiKwa nini usijiongeze hata uanzishe youtube channel urushe vipindi vyako vya kipekee, kama content itakuwa nzuri utaweza kupata watazamaji wa kutosha na kujiingizia kipato. Suala la ku suggest "ulidanganywa" na marehemu ni suala la kipuuzi unatakiwa uishi kuendana na uhalisia, kwa sasa Youtube ndio imekua central point ya maudhui hususani ya mtindo wa video, changamsha akili, ubongo usigande