uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Demo nimeproduce mwenyewe, nilitafuta presenters, watu wa video show ikamalizika.
Mwendelezo wake upo maana nimeandika vipindi 34 ninavyo on paper.
Ni kitu kizuri na inalipa sana ma demand ni kubwa, lakin inaitaji capital kubwa sana, au andiko very convincing, you must be noticed kabla, may ufungua account ya face book uanze ku-share
Mfano, story za umughaka leo akisema afafute producer au sponsor jinsi alivyozipangilia anaweza kufanikiwa maana ameonekana.
Shida kubwa kwako ni how you will be noticed kwamba umefanya kitu cha tofauti cha kuthaminishwa hivyo, do your home work.