Marehemu Ruge "alivyonidanganya"

Marehemu Ruge "alivyonidanganya"

Demo nimeproduce mwenyewe, nilitafuta presenters, watu wa video show ikamalizika.

Mwendelezo wake upo maana nimeandika vipindi 34 ninavyo on paper.

Ni kitu kizuri na inalipa sana ma demand ni kubwa, lakin inaitaji capital kubwa sana, au andiko very convincing, you must be noticed kabla, may ufungua account ya face book uanze ku-share

Mfano, story za umughaka leo akisema afafute producer au sponsor jinsi alivyozipangilia anaweza kufanikiwa maana ameonekana.

Shida kubwa kwako ni how you will be noticed kwamba umefanya kitu cha tofauti cha kuthaminishwa hivyo, do your home work.
 
In short ni mara chache kupata mtu mwenye wito wa kumbeba mwingine.

Pengine alitaka kukusaidia channel ikabana au ulikuwa kwenye foleni, ya kusaidiwa, Mungu naye kaamua yake.

Anyways, umeshaisoma hii nchi, tafuta upenyo ili utoke.
 
Shida kubwa kwako ni how you will be noticed kwamba umefanya kitu cha tofauti cha kuthaminishwa hivyo, do your home work.
Mkuu naombaa kuuliza, kwani mtu hawezi kufikisha bidhaa malangoni pao.
 
Huko wanakuchota akili na wataboresha mawazo yako na kuyafanyia kazi vingine.
 
Vina ubora na maudhui ya staha kwa asilimia 100.
Kwa nini usijiongeze hata uanzishe youtube channel urushe vipindi vyako vya kipekee, kama content itakuwa nzuri utaweza kupata watazamaji wa kutosha na kujiingizia kipato. Suala la ku suggest "ulidanganywa" na marehemu ni suala la kipuuzi unatakiwa uishi kuendana na uhalisia, kwa sasa Youtube ndio imekua central point ya maudhui hususani ya mtindo wa video, changamsha akili, ubongo usigande
 
Kuna alot of myth kuhusiana na ulipaji wa youtube hakuna tofauti na stori za biashara ya matikiti
Kingine sio kila content nitakuruka Youtube, ishi na iyo.
 
Back
Top Bottom