Marehemu Ruge "alivyonidanganya"

Marehemu Ruge "alivyonidanganya"

Nachelea kusema wazo lako la kawaida au halitekekezeki. Lingekuwa ni wazo bora na,la kipekee walahi leo hii ungekuja hapa kulalamika umeibiwa idea yako.

Watu wa midia kama huna connection au hukusajiri idea yako ukiwapa tu wazo wanakwambia nenda njoo wiki ijayo, hujafika hatahome wenzio wanakuwa wameshaanza production na baada ya siku mbili unalioma kwenye kudeo.

Yalinikuta mm mwenyewe tve na hata huko clouds. HAPA NILIPO NINA BONGE LA IDEA LA TV INFOTAINMENT LINALOWAHUSU WAPENDA SIFA WENYE HELA ZAO ILA BORA NIZIKWE NALO TUU KULIKO KUWAFAIDISHA WATU WASIO NASHUKRANI
 
Paragraph yako ya kwanza ndio nilichotaka kuandika. Angekuwa hapa analalamika kaibiwa wazo au kalipwa kiduchu.
 
Nachelea kusema wazo lako la kawaida au halitekekezeki. Lingekuwa ni wazo bora na,la kipekee walahi leo hii ungekuja hapa kulalamika umeibiwa idea yako.

Watu wa midia kama huna connection au hukusajiri idea yako ukiwapa tu wazo wanakwambia nenda njoo wiki ijayo, hujafika hatahome wenzio wanakuwa wameshaanza production na baada ya siku mbili unalioma kwenye kudeo.

Yalinikuta mm mwenyewe tve na hata huko clouds. HAPA NILIPO NINA BONGE LA IDEA LA TV INFOTAINMENT LINALOWAHUSU WAPENDA SIFA WENYE HELA ZAO ILA BORA NIZIKWE NALO TUU KULIKO KUWAFAIDISHA WATU WASIO NASHUKRANI
Unanisaidiaje mkuu, ngoma nimeshaisajili Cosota since 2017
 
Nachelea kusema wazo lako la kawaida au halitekekezeki. Lingekuwa ni wazo bora na,la kipekee walahi leo hii ungekuja hapa kulalamika umeibiwa idea yako.

Watu wa midia kama huna connection au hukusajiri idea yako ukiwapa tu wazo wanakwambia nenda njoo wiki ijayo, hujafika hatahome wenzio wanakuwa wameshaanza production na baada ya siku mbili unalioma kwenye kudeo.

Yalinikuta mm mwenyewe tve na hata huko clouds. HAPA NILIPO NINA BONGE LA IDEA LA TV INFOTAINMENT LINALOWAHUSU WAPENDA SIFA WENYE HELA ZAO ILA BORA NIZIKWE NALO TUU KULIKO KUWAFAIDISHA WATU WASIO NASHUKRANI
Sijataka muonesha mtu tukiwa koridoni. Nataka nifanye full presentation
 
Temana na Ruge. Muache apumzike.

Wakumsema vibaya ni yule mtesi wetu aliyetupora mali zetu, aliyetubomolea nyumba zetu aliyempiga risasi braza lissu.
Mtesi wako. Sie wengine anabaki kuwa mwamba wa tanzania kuwahi kutokea tena jembe hasa. Msimamia sheria na mfia nchi ambaye wajinga wachache walimdisi.
 
😂😂😂 Mwanakwetu umetisha
😂😂 hili taifa lina watu wa kina "Bwana unajua", "Oohh" yani mtu anahisi akipush wazo lako utachukua nafasi yake. Nishakuwa na mawazo kama yako.

Mwisho wa siku nikala shortcut nafanya mitikasi mingine ikisimama, naanza kukimbiza ndoto.
 
Mpaka leo nashindwa kuelewa ni kwamba
1. Marehemu alikuwa anafurahisha genge kwa kusema yale
2. connection ndiyo iliyonikwamisha
3. Sikukutana na watu sahihi kwenye malango yale
Mkuu acha UJINGA, kulaumu ni dalili ya Udhaifu na Umasikini.(Excuses). MWANAUME hupaswi kuwa hivyo.

POLE sana ila nakuhakikishia tu, hilo swala namba 3 ndio tatizo ulilkutana nalo. Kaa chini na ukalifanyie kazi, Ni bora utumie muda mrefu lakini hakikisha umezungumza na Mtu sahihi. Narudia tena Mtu sahihi (Yule wenye Maamuzi ya Mwisho), tofauti na BOSS(endapo atakuwa Bize) basi huyo mwingine awe ni yule ambaye huyo Boss amekupa maelezo kuwa nenda kwa Fulani akusikilize halafu atanijulisha.

Kujua nani ni sahihi, kaa chini tulia na ujue nani huwa ni final decision wa Jambo kama lako hapo unapokwenda. Ukimjua basi mtafute huyo. Mara nyingi wapo Bize hivyo kuwa Mvumilivu
 
Usukate tamaa,onana na manguli wa sekta hiyo wakuonyeshe njia kaka.Usimuone marehemu kuwa alikuwa mbaya,watafute watu wa kada hiyo,waonyeshe kama kuna marekebisho wakuambie.Usikate tamaa.
 
The mountain is YOU! Wala sio Ruge wala sio vituo vya kurushia matangazo. Kik wazo ni wewe mwenyewe. Tafakari kwa kina. Blame no one, just blame yourself.
 
Mkuu acha UJINGA, kulaumu ni dalili ya Udhaifu na Umasikini.(Excuses). MWANAUME hupaswi kuwa hivyo.

POLE sana ila nakuhakikishia tu, hilo swala namba 3 ndio tatizo ulilkutana nalo. Kaa chini na ukalifanyie kazi, Ni bora utumie muda mrefu lakini hakikisha umezungumza na Mtu sahihi...
Ahsante kwa ushauri mwanana
 
Maswali ya muhimu:

  • Nani producer wa iyo.
  • Mwenelezo wake.

Etc
Demo nimeproduce mwenyewe, nilitafuta presenters, watu wa video show ikamalizika.

Mwendelezo wake upo maana nimeandika vipindi 34 ninavyo on paper.
 
Tafuta mtaji fungua Radio/Tv stesheni yako Mwenyewe urushe matangazo yako moja kwa moja kutoka jikoni kwako. Halafu hawa vijana fursa watakuletea kazi katika vituo vyako vya matangazo, Hivi nikitaka kuanzisha kituo cha radio na tv nahitaji mtaji kiasi gani?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usifungue wazo la kufungua online tv huko youtube na other social networks
 
Shujaa Mwongoza Njia Kijana Mdogo Sana Aliyefanikiwa Tanzania Ruge Mutahaba
Aka messup na hooligans akajikuta migombani akiwa mdogo Sana!!

Wakati MWINGINE Huwa nakiri moyoni kuwa kuna watu wanaponza wenzao Sana!

Yule jamaa SIJUI Nani alimponza!

Nachokumbuka ni KIMOJA tu!

"Ruge alikuwa loyal KWANGU wakati nikiwa kiongozi na baada ya kustaafu uongozi"

Mengi yalijificha kwenye kauli ile!
 
Back
Top Bottom