THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Vigingi ni vingi saana, bora hata uuze mchele mzee unaweza kutoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paragraph yako ya kwanza ndio nilichotaka kuandika. Angekuwa hapa analalamika kaibiwa wazo au kalipwa kiduchu.Nachelea kusema wazo lako la kawaida au halitekekezeki. Lingekuwa ni wazo bora na,la kipekee walahi leo hii ungekuja hapa kulalamika umeibiwa idea yako.
Watu wa midia kama huna connection au hukusajiri idea yako ukiwapa tu wazo wanakwambia nenda njoo wiki ijayo, hujafika hatahome wenzio wanakuwa wameshaanza production na baada ya siku mbili unalioma kwenye kudeo.
Yalinikuta mm mwenyewe tve na hata huko clouds. HAPA NILIPO NINA BONGE LA IDEA LA TV INFOTAINMENT LINALOWAHUSU WAPENDA SIFA WENYE HELA ZAO ILA BORA NIZIKWE NALO TUU KULIKO KUWAFAIDISHA WATU WASIO NASHUKRANI
Mtu sahihi wa kumuona ni nani, programu meneja, meneja masoko au nani?Ajakudanganya, kasema ukweli kabisa, swala la kufanikisha si lake, but demand ipo dunia yote.
Unanisaidiaje mkuu, ngoma nimeshaisajili Cosota since 2017Nachelea kusema wazo lako la kawaida au halitekekezeki. Lingekuwa ni wazo bora na,la kipekee walahi leo hii ungekuja hapa kulalamika umeibiwa idea yako.
Watu wa midia kama huna connection au hukusajiri idea yako ukiwapa tu wazo wanakwambia nenda njoo wiki ijayo, hujafika hatahome wenzio wanakuwa wameshaanza production na baada ya siku mbili unalioma kwenye kudeo.
Yalinikuta mm mwenyewe tve na hata huko clouds. HAPA NILIPO NINA BONGE LA IDEA LA TV INFOTAINMENT LINALOWAHUSU WAPENDA SIFA WENYE HELA ZAO ILA BORA NIZIKWE NALO TUU KULIKO KUWAFAIDISHA WATU WASIO NASHUKRANI
Sijataka muonesha mtu tukiwa koridoni. Nataka nifanye full presentationNachelea kusema wazo lako la kawaida au halitekekezeki. Lingekuwa ni wazo bora na,la kipekee walahi leo hii ungekuja hapa kulalamika umeibiwa idea yako.
Watu wa midia kama huna connection au hukusajiri idea yako ukiwapa tu wazo wanakwambia nenda njoo wiki ijayo, hujafika hatahome wenzio wanakuwa wameshaanza production na baada ya siku mbili unalioma kwenye kudeo.
Yalinikuta mm mwenyewe tve na hata huko clouds. HAPA NILIPO NINA BONGE LA IDEA LA TV INFOTAINMENT LINALOWAHUSU WAPENDA SIFA WENYE HELA ZAO ILA BORA NIZIKWE NALO TUU KULIKO KUWAFAIDISHA WATU WASIO NASHUKRANI
😂😂😂 Mwanakwetu umetishaVigingi ni vingi saana, bora hata uuze mchele mzee unaweza kutoboa
Mtesi wako. Sie wengine anabaki kuwa mwamba wa tanzania kuwahi kutokea tena jembe hasa. Msimamia sheria na mfia nchi ambaye wajinga wachache walimdisi.Temana na Ruge. Muache apumzike.
Wakumsema vibaya ni yule mtesi wetu aliyetupora mali zetu, aliyetubomolea nyumba zetu aliyempiga risasi braza lissu.
😂😂 hili taifa lina watu wa kina "Bwana unajua", "Oohh" yani mtu anahisi akipush wazo lako utachukua nafasi yake. Nishakuwa na mawazo kama yako.😂😂😂 Mwanakwetu umetisha
Kabisa na wengi sana wamelizwa na hawa watu wa mediaParagraph yako ya kwanza ndio nilichotaka kuandika. Angekuwa hapa analalamika kaibiwa wazo au kalipwa kiduchu.
Mtu sahihi wa kumuona ni nani, programu meneja, meneja masoko au nani?
Mkuu acha UJINGA, kulaumu ni dalili ya Udhaifu na Umasikini.(Excuses). MWANAUME hupaswi kuwa hivyo.Mpaka leo nashindwa kuelewa ni kwamba
1. Marehemu alikuwa anafurahisha genge kwa kusema yale
2. connection ndiyo iliyonikwamisha
3. Sikukutana na watu sahihi kwenye malango yale
Ahsante kwa ushauri mwananaMkuu acha UJINGA, kulaumu ni dalili ya Udhaifu na Umasikini.(Excuses). MWANAUME hupaswi kuwa hivyo.
POLE sana ila nakuhakikishia tu, hilo swala namba 3 ndio tatizo ulilkutana nalo. Kaa chini na ukalifanyie kazi, Ni bora utumie muda mrefu lakini hakikisha umezungumza na Mtu sahihi...
Demo nimeproduce mwenyewe, nilitafuta presenters, watu wa video show ikamalizika.Maswali ya muhimu:
- Nani producer wa iyo.
- Mwenelezo wake.
Etc
Aka messup na hooligans akajikuta migombani akiwa mdogo Sana!!Shujaa Mwongoza Njia Kijana Mdogo Sana Aliyefanikiwa Tanzania Ruge Mutahaba