Hapa
Aliyetaka kusiwe na haja ya kitambulisho chochote ni nani?
Kwani kuishi ktk mtaa mmoja inatosha kufahamiana wote au wewe haujui mitaa ya majiji kwamba mtu na jirani wanaweza kuwa hawafahamiani?
Hiyo shida binafsi yako wewe jambazi Huonekani hata vikao vya mjumbe wa nyumba kumi ujulikane kuwa uko eneo lake? Serikali ya mtaa hawakujui hata kwenye kuchangia pesa ya ulinzi shirikishi au kuzoa takataka? Hata msikiti au kanisa la mtaa hawakujui ambao ndio wakazi wa mtaa au kijiji
Sasa wewe hata kama mjumbe wa nyumba kumi hakujui kanisa na msikiti hawakujui una tatizo
Sababu hata ukitaka barua yoyote ya kiserikali unataka passport au kuwekea dhamana mtu utaambiwa kawasiliane kwanza na mjumbe wa nyumba kumi anayekujua wewe ndio Serikali ya mtaa ukupe barua
Mlipoambiwa vyama vyote viweke mawakala kijijini au mtaani ambao wanawajua watu hapo kijijini au mtaani mlifikiri Tamisemi walikuwa mabwege au?
Wewe utakuwa jambazi haiwezekani mjumbe wa nyumba kumi au Serikali ya mtaa wasikujue na watu wasikujue
Unajifanya muingia getini na kutoka hujui cha kanisani wala msikiti ulioko kijijini au mtaani kwako ndio maana hujui watu na hujulikani jambazi wewe
Wakiita kikao cha mkutano wa mtaa au kijiji hutokei unakuwa kwenye mission za ujambazi
Mtaani na vijijini tunajuana ila wewe jambazi mtu wa geti kali ,ukuta mrefu na mbwa mkali utajijua
Mtaani na kijijini hatuhitaji vitambulisho tunajuana na mawakala wa eneo letu wanatujua hatuhitaji vitambullisho kutujua tukienda kujiandikisha