LGE2024 Marehemu wengi Katavi waandikishwa kwenye daftari la wapiga kura

LGE2024 Marehemu wengi Katavi waandikishwa kwenye daftari la wapiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hiyo shida binafsi yako wewe jambazi Huonekani hata vikao vya mjumbe wa nyumba kumi ujulikane kuwa uko eneo lake? Serikali ya mtaa hawakujui hata kwenye kuchangia pesa ya ulinzi shirikishi au kuzoa takataka? Hata msikiti au kanisa la mtaa hawakujui ambao ndio wakazi wa mtaa au kijiji

Sasa wewe hata kama mjumbe wa nyumba kumi hakujui kanisa na msikiti hawakujui una tatizo

Sababu hata ukitaka barua yoyote ya kiserikali unataka passport au kuwekea dhamana mtu utaambiwa kawasiliane kwanza na mjumbe wa nyumba kumi anayekujua wewe ndio Serikali ya mtaa ukupe barua

Mlipoambiwa vyama vyote viweke mawakala kijijini au mtaani ambao wanawajua watu hapo kijijini au mtaani mlifikiri Tamisemi walikuwa mabwege au?

Wewe utakuwa jambazi haiwezekani mjumbe wa nyumba kumi au Serikali ya mtaa wasikujue na watu wasikujue
Unajifanya muingia getini na kutoka hujui cha kanisani wala msikiti ulioko kijijini au mtaani kwako ndio maana hujui watu na hujulikani jambazi wewe

Wakiita kikao cha mkutano wa mtaa au kijiji hutokei unakuwa kwenye mission za ujambazi

Mtaani na vijijini tunajuana ila wewe jambazi mtu wa geti kali ,ukuta mrefu na mbwa mkali utajijua

Mtaani na kijijini hatuhitaji vitambulisho tunajuana na mawakala wa eneo letu wanatujua hatuhitaji vitambullisho kutujua tukienda kujiandikisha
Usingekuwa na ujinga ungejibu ulichoulizwa hiyo rufaa inakatwaje walati majina yaliyobandikwa mmeyachana ktk sehemu zote zilizolalamikiwa?
 
Kumbe siyo kosa lako, najadili na mjinga yule wa TWAWEZA tena wa kijijini maana ungekuwa mjini usingeandika huu upuuzi na kama uko mjini we huna kazi ya kufanya zaidi ya kuzurula mitaani.
Mjini watu wanajulikana wewe acha kujifungia Getini wewe mtu akifiwa mtaani toka changia iwe msiba ,harusi ,mkutano nk uwe unatoka unajifungia ndani tu kama mwali au jambazi ukitoka gari tinted watu mtaani wakujue una nini lofa wewe unadhani mtaani kuna mtu atakuomba hela au? hadi usiwe active mambo ya mtaani ? Wewe Billy Gates lofa wewe kiasi kuwa ukienda kujiandikisha lazima uende na kitambulisho sijui NIDA sijui nini? Mtaani kichwa chako na uhusiano na watu mtaani hauko sawa wahi Mirembe Hospital ukatibiwe ugonjwa wa akili

Mtaani mtu hata akifika hajui kwako akiuliza naenda kwa fulani watu wa mtaani wanabidi waelekeze chapchap kuwa kwake pale lofa wewe mvaa suti kibarua serikalini au mla ruzuku au jambazi
 
Usingekuwa na ujinga ungejibu ulichoulizwa hiyo rufaa inakatwaje walati majina yaliyobandikwa mmeyachana ktk sehemu zote zilizolalamikiwa?
Tamisemi wako makini mno ukijifanya mjanja peleka kesi mahakamani uone mziki wake vyama vyote ikiwemo Chadema wapata ruzuku Tamisemi wamewaambia wekeni mawakala mnaleta ujuaji

Haya kawambieni wafadhili wenu wa ndani na nje je mliweka mawakala kila kituo cha kujiandikisha nchi nzima? Wakati pesa waliwapa na ruzuku mlipewa

Chadema toeni jibu kwa wafadhili wenu na CAG

Pesa za mawakala nchi nzima mumekula makao makuu au ?

Mbowe na Lisu achaneni kutapeli

Pesa za kuweka mawakala vituo nchi nzima vya kuandikisha mbona hamjaweka?

Wafadhili tafadhali hakikini randomly wasiwapangie kuhakiki wapi muone utapeli wa Chadema hakikini hasa vijijini randomly ndio mtajua mna finance wezi

Wasiwapangie mwende wapi kuhakiki kama mawakala walilipwa posho zao

Someni tu report zao ohh tulilipa wote chagueni popote randomly kahakikini kwa wenyewe mawakala mtajua wizi Chadema wanavyowaibia pesa zenu kwa manufaa ya wachache Mbowe na Lisu
 
Back
Top Bottom