erasto Samwel
Member
- Sep 10, 2024
- 78
- 91
Viongoazi wa CCM hawana aibu lakini pia hata uwezo wao ni mdogo wa kuwekq mambo ktk mizani. Hata walisahau kuwa namba za sensa zipo wakapika taarifa ya aibu.Nimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi wanazomea.
Halafu Waziri unaleta usanii kwamba wananchi wamejiandikisha wengi ili kumfurahisha Rais. Hii ni Katavi, mikoa mingine sasa.
Inaonekana majina walikuwa wanayatoa ktk ofisi za kata wanawapa waandikishaji😀
Umbeya tuNimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi wanazomea.
Halafu Waziri unaleta usanii kwamba wananchi wamejiandikisha wengi ili kumfurahisha Rais. Hii ni Katavi, mikoa mingine sasa.
Inaonekana majina walikuwa wanayatoa ktk ofisi za kata wanawapa waandikishaji😀
Weka majina na vyeti vyao vya vifo hadharani kama majina yao yanavyowekwa hadharani na ueleze walikozikwa na uonyeshe makaburi yaoInashangaza sana
Weka majina na vyeti vyao vya vifo hadharani kama majina yao yanavyowekwa hadharani na ueleze walikozikwa na uonyeshe makaburi yao
Msilete siasa za kitoto hapa..huo uchaguzi ni wa kisheria ukituhumu kuna marehemu kaandikishwa onyesha na cheti chake cha kifo na alipozikwa kaburi lake lilipo onyesha bwege wewe
Wewe utakuwa na shida kichwani, kwa hiyo mtu akifa mtaani kwetu tukamzika utataka tuwe na cheti kueleza kama alikufa ? Na vipi wale waombolezaji msibani wanaonyeshwa cheti hicho?.Waandishi wa habari habari kama hixi ziwe zinaambatanishwa na vyeti vya vifo kama ushahidi na waonyeshe hayo makaburi walikozikwa yako wapi ? Eneo lipi wapige na picha za hayo makaburi ili kukomesha uzushi kama wa huyu mleta mada
Tatizo hili la kuandikisha Watu kwa uholela limetengenezwa makusudi na watawala.Nimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi wanazomea.
Halafu Waziri unaleta usanii kwamba wananchi wamejiandikisha wengi ili kumfurahisha Rais. Hii ni Katavi, mikoa mingine sasa.
Inaonekana majina walikuwa wanayatoa ktk ofisi za kata wanawapa waandikishaji😀
Hakukuwa na haja yeyote kuwa mtu aende kujiandikisha na kitambulisho sababu anaishi kwenye mtaa huo na kijiji husika ndio maana ikawekwa wazi anayepinga aje na ushahidi sio kuchonga mdomo tu kuwa mimi nilitungua kilio mazishi yake kwenda hukoWewe utakuwa na shida kichwani, kwa hiyo mtu akifa mtaani kwetu tukamzika utataka tuwe na cheti kueleza kama alikufa ? Na vipi wale waombolezaji msibani wanaonyeshwa cheti hicho?.
Ok kama cheti Cha kifo ktk taarifa ni muhimu kwa ccm vipi hawakuona umuhimu wa kuwa na kitambulisho chochote ktk kuandikisha hao wapiga kura. Je hizi crips zilizo humu za rough ktk uandish na kura za maoni nazo hauziamini?
Utetezi mwingine ni wa kuepuka maana unakuacha na aibu ya ujinga ulionao.
Aliyetaka kusiwe na haja ya kitambulisho chochote ni nani?Hakukuwa na haja yeyote kuwa mtu aende na kitambulisho sababu anaishi kwenye mtaa huo na kijiji husika ndio maana ikawekwa wazi anayepinga aje na ushahidi sio kuchonga mdomo tu kuwa mimi nilitungua kilio mazishi yake kwenda huko
Mtu hazikwi kama mbwa kuna kibali cha mazishi na kuna hati ya kifo yaani death certificate na kuna kaburi lilipo
Huyo mpingaji ndio akalete huo ushahidi
Ndio maana hata ndoa hutangazwa kuwa kama kuna yeyote anayepinga haws watu wasioane alete pingamizi na ushahidi wa kisheria sio maneno matupu na kutungua kilio cha ooh majirani wanajua .Kalete marriage certificate
Na huyo kama marehemu wewe unayepinga kuwa marehemu kalete vyeti kuanzia cheti cha kuruhusu mazishi cheti cha kifo na onyesha kaburi lake lilipo
Hivi kaburi la Gavana wa Benki Kuu ya Tz wa zamani Bw. Daud Balali liko wapi?Hakukuwa na haja yeyote kuwa mtu aende kujiandikisha na kitambulisho sababu anaishi kwenye mtaa huo na kijiji husika ndio maana ikawekwa wazi anayepinga aje na ushahidi sio kuchonga mdomo tu kuwa mimi nilitungua kilio mazishi yake kwenda huko
Mtu hazikwi kama mbwa kuna kibali cha mazishi na kuna hati ya kifo yaani death certificate na kuna kaburi lilipo
Huyo mpingaji ndio akalete huo ushahidi
Ndio maana hata ndoa hutangazwa kuwa kama kuna yeyote anayepinga hawa watu wasioane alete pingamizi na ushahidi wa kisheria sio maneno matupu na kutungua kilio cha ooh majirani wanajua .AKalete marriage certificate
Na huyo kama marehemu wewe unayepinga kuwa marehemu kalete vyeti kuanzia cheti cha kuruhusu mazishi cheti cha kifo na onyesha kaburi lake lilipo
Hiyo shida binafsi yako wewe jambazi Huonekani hata vikao vya mjumbe wa nyumba kumi ujulikane kuwa uko eneo lake? Serikali ya mtaa hawakujui hata kwenye kuchangia pesa ya ulinzi shirikishi au kuzoa takataka? Hata msikiti au kanisa la mtaa hawakujui ambao ndio wakazi wa mtaa au kijijiHapa
Aliyetaka kusiwe na haja ya kitambulisho chochote ni nani?
Kwani kuishi ktk mtaa mmoja inatosha kufahamiana wote au wewe haujui mitaa ya majiji kwamba mtu na jirani wanaweza kuwa hawafahamiani?
Kwani kajiandikisha kupiga kura huyo marehemu Balali? Na ukiona jina la Daudi Balali kwenye kituo utasema ndio yeye? Una uhakika ni yeye au ni mtu mwingine ambaye majina yanafanana? Waweza fikia conclusion kuwa ni yeye beyond reasonable legal doubts? Kuwa marehemu kajiandikisha na kuwa ni yeye na ukatoa ushahidi usio na shaka kuwa ni yeye?Hivi kaburi la Gavana wa Benki Kuu ya Tz wa zamani Bw. Daud Balali liko wapi?
Je, unaweza kwenda kutuonyesha?
Haya ni masuala ya kipuuzi kabisa yaliyianzishwa na utawala wa Ccm hapa Tanzania. Wakati mfumo wa maisha kwenye nchi za wenzetu wenye akili timamu sawa sawa mtu unaweza unaishi na majirani zako unaotenganishwa nao na fensi Moja za majengo mnayoishi na mnaweza msikutane ana kwa ana hata mara Moja kwa kipindi chote mnachoishi eneo hilo hata kwa muda wa miaka Kumi mfululizo.Hiyo shida binafsi yako wewe jambazi Huonekani hata vikao vya mjumbe wa nyumba kumi ujulikane kuwa uko eneo lake? Serikali ya mtaa hawakujui hata kwenye kuchangia pesa ya ulinzi shirikishi au kuzoa takataka? Hata msikiti au kanisa la mtaa hawakujui ambao ndio wakazi wa mtaa au kijiji
Sasa wewe hata kama mjumbe wa nyumba kumi hakujui kanisa na msikiti hawakujui una tatizo
Sababu hata ukitaka barua yoyote ya kiserikali unataka passport au kuwekea dhamana mtu utaambiwa kawasiliane kwanza na mjumbe wa nyumba kumi anayekujua wewe ndio Serikali ya mtaa ukupe barua
Mlipoambiwa vyama vyote viweke mawakala kijijini au mtaani ambao wanawajua watu hapo kijijini au mtaani mlifikiri Tamisemi walikuwa mabwege au?
Wewe utakuwa jambazi haiwezekani mjumbe wa nyumba kumi au Serikali ya mtaa wasikujue na watu wasikujue
Unajifanya muingia getini na kutoka hujui cha kanisani wala msikiti ulioko kijijini au mtaani kwako ndio maana hujui watu na hujulikani jambazi wewe
Wakiita kikao cha mkutano wa mtaa au kijiji hutokei unakuwa kwenye mission za ujambazi
Mtaani na vijijini tunajuana ila wewe jambazi mtu wa geti kali ,ukuta mrefu na mbwa mkali utajijua
Mtaani na kijijini hatuhitaji vitambulisho tunajuana na mawakala wa eneo letu wanatujua hatuhitaji vitambullisho kutujua tukienda kujiandikisha
Kumbe siyo kosa lako, najadili na mjinga yule wa TWAWEZA tena wa kijijini maana ungekuwa mjini usingeandika huu upuuzi na kama uko mjini we huna kazi ya kufanya zaidi ya kuzurula mitaani.Hiyo shida binafsi yako wewe jambazi Huonekani hata vikao vya mjumbe wa nyumba kumi ujulikane kuwa uko eneo lake? Serikali ya mtaa hawakujui hata kwenye kuchangia pesa ya ulinzi shirikishi au kuzoa takataka? Hata msikiti au kanisa la mtaa hawakujui ambao ndio wakazi wa mtaa au kijiji