Huyo jamaa sio school mate wangu kweli? Alikuwa mwanachuo UD? Pia aligongwa ubungo darajani? Kama ndo huyo basi Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake.Tuwakumbuke marehemu wetu wa jf toka kuanzishwa
Hakuna kifo cha mwanajf kilichoniuma kama cha yule member wetu aliyekanyagwa na gari miaka mitano iliyopita dar es salaam na alikuwa maarufu sana humu tena janky sana jina nimesahau
Remembering our fallen heroes
Utakuwa mke wangu wewe maana najua ni member humu miaka dahari alivyopost tu kainuka kunichek namimi nikamchek USO kwa USO utakuwa ndio wewe wife umejuaje Leo nimepost sana unanufwatiliaApumzike kwa amani, ulale sasa leo umepost sana
HahahahaApumzike kwa amani, ulale sasa leo umepost sana
Uwiii hahahahaUtakuwa mke wangu wewe maana najua ni member humu miaka dahari alivyopost tu kainuka kunichek namimi nikamchek USO kwa USO utakuwa ndio wewe wife umejuaje Leo nimepost sana unanufwatilia
Inawezekana ila yeye alikuwa mpare msabato nadhani pia alikuwa ni adimin wa jfHuyo jamaa sio school mate wangu kweli? Alikuwa mwanachuo UD? Pia aligongwa ubungo darajani? Kama ndo huyo basi Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake.
Basi siyo yeye, yule alikuwa mchaga lakini msabato.Inawezekana ila yeye alikuwa mpare msabato nadhani pia alikuwa ni adimin wa jf
Mh me ni mke wa mtu tayari nahisi utakua umenifananisha kwani mwanaume wangu hatumii id ya jina hili, hana mwandiko huu na hana id mbiliUtakuwa mke wangu wewe maana najua ni member humu miaka dahari alivyopost tu kainuka kunichek namimi nikamchek USO kwa USO utakuwa ndio wewe wife umejuaje Leo nimepost sana unanufwatilia
utakojoa dagaa shauri yako, wake za watu sumu we jifanye gheto kuna maziwaAny way nataka unizalie Mme wako nitampa trekta na pesa cash