Marehemu wetu wa JamiiForums

Marehemu wetu wa JamiiForums

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Tuwakumbuke marehemu wetu wa jf toka kuanzishwa
Hakuna kifo cha mwanajf kilichoniuma kama cha yule member wetu aliyekanyagwa na gari miaka mitano iliyopita dar es salaam na alikuwa maarufu sana humu tena janky sana jina nimesahau

Remembering our fallen heroes
 
Huyo jamaa sio school mate wangu kweli? Alikuwa mwanachuo UD? Pia aligongwa ubungo darajani? Kama ndo huyo basi Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake.
 
Utakuwa mke wangu wewe maana najua ni member humu miaka dahari alivyopost tu kainuka kunichek namimi nikamchek USO kwa USO utakuwa ndio wewe wife umejuaje Leo nimepost sana unanufwatilia
Uwiii hahahaha
 
Huyo jamaa sio school mate wangu kweli? Alikuwa mwanachuo UD? Pia aligongwa ubungo darajani? Kama ndo huyo basi Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake.
Inawezekana ila yeye alikuwa mpare msabato nadhani pia alikuwa ni adimin wa jf
 
Inawezekana ila yeye alikuwa mpare msabato nadhani pia alikuwa ni adimin wa jf
Basi siyo yeye, yule alikuwa mchaga lakini msabato.

Hapo kwenye admini unamaanisha nini mkuu?
 
Utakuwa mke wangu wewe maana najua ni member humu miaka dahari alivyopost tu kainuka kunichek namimi nikamchek USO kwa USO utakuwa ndio wewe wife umejuaje Leo nimepost sana unanufwatilia
Mh me ni mke wa mtu tayari nahisi utakua umenifananisha kwani mwanaume wangu hatumii id ya jina hili, hana mwandiko huu na hana id mbili
 
Haya mambo ya kukufahamiana kwenye mitandao tena kwa id fake shida kweli, kuna ID zimepotea kweli humu , we unazan mtu yupo bussy na kusaka mafweza kumbe mwenzako keshakufa na sio member wa jf tena ni member wa kuzimu/mbinguni. Cha msing tuseme R.I.P wote walioleft grp tunaowajua na tusiowajua au ka vip kwa wale tusiojulikana ni vzr tukapeana R.I.P mapema kama mimi napokea ramb ramb zangu kuanzia leo. ahsanteni kutoa n moyo si utajiri
 
Back
Top Bottom