Marehemu wetu wa JamiiForums

Unamsema doto mnzava?
List ni kubwa
Yupo Mbunge aliekua Chadema, alikua mlemavu Yule Dada, alipata ajali pale Ruvu
Yupo classmate wangu, ndugu yangu na Rafiki yangu toka utotoni na aliekua mgombea Ubunge Mohamedi Mtoi
Yupo member mwingine Mwana Dada alifia Nairobi mwaka Jana Kwa Kisukari, wapo wengine wengi
 
Usiniletee uchuro ndugu yangu; mimi bado nadunda. Labda itokee baada ya kuandika post hii kutokana na huu uchuro wako. Vipi, unaota niwe marehemu?
pole kichuguu kuna watu wengine ndaza kweli kweli
 
Watu wanatumia ID fake sasa wanajulikana vipi kama wameleftishwa na Mungu?
 
Huyo jamaa sio school mate wangu kweli? Alikuwa mwanachuo UD? Pia aligongwa ubungo darajani? Kama ndo huyo basi Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake.
bamkumbuka sana huyo jembe, tulikuwa tunavuta nae sigara mm embasy yeye sportman hall five pale kwa fund viatu na pia, alikuwa ndaki ya uhandis mitambo ( Mechanical eng)..japo nilimzidi madarsa matatu...

alikuwa mpole sana yule mchaga wa rombo, na kila jumapili lazima tusali nae ibada ya 2 au ya tatu...

Mungu ailaze mahala pema peponi..

Raha ya Milele uwape ee Bwana, Mwanga wa milele uwaangazie, Marehemu wote wapumzike kwa Aman..

Amina[emoji120]
 
Hall 5 kwa mmakonde mshona viatu aka kariakoo?pale hadi bangi zipo cc. alibakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…