Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kweli kama ni hivyo dunia ina mambo hasaahahaaaa "" Dania'' ina mambo'' Mkuu,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kama ni hivyo dunia ina mambo hasaahahaaaa "" Dania'' ina mambo'' Mkuu,,
maisha haya bila kuwa na uthubutu huwezi fanya chochote.....ni hayo tusawaaa ", hata saddamu Hussein ",aliwahi " kusema kwamba" USA Havana" uwezo wakumfnya lolote
sawaaa ""maisha haya bila kuwa na uthubutu huwezi fanya chochote.....ni hayo tu
Unamsema doto mnzava?Tuwakumbuke marehemu wetu wa jf toka kuanzishwa
Hakuna kifo cha mwanajf kilichoniuma kama cha yule member wetu aliyekanyagwa na gari miaka mitano iliyopita dar es salaam na alikuwa maarufu sana humu tena janky sana jina nimesahau
Remembering our fallen heroes
Dotto Mzava...Inawezekana ila yeye alikuwa mpare msabato nadhani pia alikuwa ni adimin wa jf
pole kichuguu kuna watu wengine ndaza kweli kweliUsiniletee uchuro ndugu yangu; mimi bado nadunda. Labda itokee baada ya kuandika post hii kutokana na huu uchuro wako. Vipi, unaota niwe marehemu?
Watu wanatumia ID fake sasa wanajulikana vipi kama wameleftishwa na Mungu?Haya mambo ya kukufahamiana kwenye mitandao tena kwa id fake shida kweli, kuna ID zimepotea kweli humu , we unazan mtu yupo bussy na kusaka mafweza kumbe mwenzako keshakufa na sio member wa jf tena ni member wa kuzimu/mbinguni. Cha msing tuseme R.I.P wote walioleft grp tunaowajua na tusiowajua au ka vip kwa wale tusiojulikana ni vzr tukapeana R.I.P mapema kama mimi napokea ramb ramb zangu kuanzia leo. ahsanteni kutoa n moyo si utajiri
napenda style ya uandishi wakosawaaa ""
hahaaa" Mkuu" Acha visa"".. kipi haswaa" kilichokufanya"" uipende"napenda style ya uandishi wako
bamkumbuka sana huyo jembe, tulikuwa tunavuta nae sigara mm embasy yeye sportman hall five pale kwa fund viatu na pia, alikuwa ndaki ya uhandis mitambo ( Mechanical eng)..japo nilimzidi madarsa matatu...Huyo jamaa sio school mate wangu kweli? Alikuwa mwanachuo UD? Pia aligongwa ubungo darajani? Kama ndo huyo basi Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake.
Mentor ni marehemu?HR666 ,Mentor
''""""""""hahaaa" Mkuu" Acha visa"".. kipi haswaa" kilichokufanya"" uipende"
by '.the way"".. asante
ha". haa" haa "" nimeshazoea" aisee "..''""""""""
Hall 5 kwa mmakonde mshona viatu aka kariakoo?pale hadi bangi zipo cc. alibakaribamkumbuka sana huyo jembe, tulikuwa tunavuta nae sigara mm embasy yeye sportman hall five pale kwa fund viatu na pia, alikuwa ndaki ya uhandis mitambo ( Mechanical eng)..japo nilimzidi madarsa matatu...
alikuwa mpole sana yule mchaga wa rombo, na kila jumapili lazima tusali nae ibada ya 2 au ya tatu...
Mungu ailaze mahala pema peponi..
Raha ya Milele uwape ee Bwana, Mwanga wa milele uwaangazie, Marehemu wote wapumzike kwa Aman..
Amina[emoji120]
Wanasema yupoMentor ni marehemu?