Marehemu wetu wa JamiiForums

Ndo huyo kabisa mkuu, nilisoma nae Tosamaganga jamaa white mpole alikuwa anatumia sigara na ulanzi kwa sana lakini hana makuu! Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi!
 
mie siku nikifa sijui nani ataleta taarifa za kifo changu humu-ngoja niwatafute rafiki zagu Jimena na gfsonwin niwambie siku ikitokea nimfariki kabla yao walete taarifa humu.
 
Kifo ni ukumbusho kua dunia ni mapito tu,
So,kua muangalifu na matendo yako kisha mpende Mungu.
 
Dotto Mzava...

RIP

RiP Regia Mtema, Chetuntu. Ibra87, na wengine wote waliotangulia mbele ya haki
Chetuntu ndio member wa kwanza wa jf kufariki na kuwa reported
 
Ndo huyo kabisa mkuu, nilisoma nae Tosamaganga jamaa white mpole alikuwa anatumia sigara na ulanzi kwa sana lakini hana makuu! Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi!
duh, kumbe mlipita hiyo shule..
nimesoma O-Level hiyo shule, nilikuwa naishi Mwenge, bweni ambalo lipo mbele ya halfmiles
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…