Marehemu wetu wa JamiiForums

Marehemu wetu wa JamiiForums

bamkumbuka sana huyo jembe, tulikuwa tunavuta nae sigara mm embasy yeye sportman hall five pale kwa fund viatu na pia, alikuwa ndaki ya uhandis mitambo ( Mechanical eng)..japo nilimzidi madarsa matatu...

alikuwa mpole sana yule mchaga wa rombo, na kila jumapili lazima tusali nae ibada ya 2 au ya tatu...

Mungu ailaze mahala pema peponi..

Raha ya Milele uwape ee Bwana, Mwanga wa milele uwaangazie, Marehemu wote wapumzike kwa Aman..

Amina[emoji120]


Ndo huyo kabisa mkuu, nilisoma nae Tosamaganga jamaa white mpole alikuwa anatumia sigara na ulanzi kwa sana lakini hana makuu! Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi!
 
mie siku nikifa sijui nani ataleta taarifa za kifo changu humu-ngoja niwatafute rafiki zagu Jimena na gfsonwin niwambie siku ikitokea nimfariki kabla yao walete taarifa humu.
 
Kifo ni ukumbusho kua dunia ni mapito tu,
So,kua muangalifu na matendo yako kisha mpende Mungu.
 
Ndo huyo kabisa mkuu, nilisoma nae Tosamaganga jamaa white mpole alikuwa anatumia sigara na ulanzi kwa sana lakini hana makuu! Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi!
duh, kumbe mlipita hiyo shule..
nimesoma O-Level hiyo shule, nilikuwa naishi Mwenge, bweni ambalo lipo mbele ya halfmiles
 
Back
Top Bottom