hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
aaaagh ''Mimi'' napendaga ",Sana mastory ..yaelekea "'wewe ''nimvivu mnoo"" wakusoma makala ndefu ndefu".hahaha sawa bro kulinishinda huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aaaagh ''Mimi'' napendaga ",Sana mastory ..yaelekea "'wewe ''nimvivu mnoo"" wakusoma makala ndefu ndefu".hahaha sawa bro kulinishinda huko
Hua mnajuaje wamekufa na humu hatufahamiani ?R.I.P ibra87 One year agoo sasa umetuacha wana jf (jul 3 2017)
Hua watu wana marafiki humu. Yakitokea ya kutokea wanataarifu. Ndivyo ilivyo kama huna unayefahamiana nae ndio muda sasa. We are walking deadHua mnajuaje wamekufa na humu hatufahamiani ?
bamkumbuka sana huyo jembe, tulikuwa tunavuta nae sigara mm embasy yeye sportman hall five pale kwa fund viatu na pia, alikuwa ndaki ya uhandis mitambo ( Mechanical eng)..japo nilimzidi madarsa matatu...
alikuwa mpole sana yule mchaga wa rombo, na kila jumapili lazima tusali nae ibada ya 2 au ya tatu...
Mungu ailaze mahala pema peponi..
Raha ya Milele uwape ee Bwana, Mwanga wa milele uwaangazie, Marehemu wote wapumzike kwa Aman..
Amina[emoji120]
basi aonganishe matukio atapata jibuHalaf najikuta sina jibu mbona hun
Ndio bae muda ndio huu vile umeniahidibasi aonganishe matukio atapata jibu
hahahaha nimecheka sanaUsiniletee uchuro ndugu yangu; mimi bado nadunda. Labda itokee baada ya kuandika post hii kutokana na huu uchuro wako. Vipi, unaota niwe marehemu?
naomba dk 15 honeyNdio bae muda ndio huu vile umeniahidi
Ushaanza mambo yakonaomba dk 15 honey
Mentor yule wa jukwaa letu pendwa la Chelsea?Mentor yupo bwana
duh, kumbe mlipita hiyo shule..Ndo huyo kabisa mkuu, nilisoma nae Tosamaganga jamaa white mpole alikuwa anatumia sigara na ulanzi kwa sana lakini hana makuu! Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi!