Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apumzike kwa amani, ulale sasa leo umepost sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apumzike kwa amani, ulale sasa leo umepost sana
Haya mambo ya kukufahamiana kwenye mitandao tena kwa id fake shida kweli, kuna ID zimepotea kweli humu , we unazan mtu yupo bussy na kusaka mafweza kumbe mwenzako keshakufa na sio member wa jf tena ni member wa kuzimu/mbinguni. Cha msing tuseme R.I.P wote walioleft grp tunaowajua na tusiowajua au ka vip kwa wale tusiojulikana ni vzr tukapeana R.I.P mapema kama mimi napokea ramb ramb zangu kuanzia leo. ahsanteni kutoa n moyo si utajiri
Mentor yupo bwanaHR666 ,Mentor
Usiniletee uchuro ndugu yangu; mimi bado nadunda. Labda itokee baada ya kuandika post hii kutokana na huu uchuro wako. Vipi, unaota niwe marehemu?
Hahahahaha afadhal umekuja akutambue kama we ndio bavu wangu wa piliutakojoa dagaa shauri yako, wake za watu sumu we jifanye gheto kuna maziwa
napita zangu
Hahahahahahhaahhahah aiseeUsiniletee uchuro ndugu yangu; mimi bado nadunda. Labda itokee baada ya kuandika post hii kutokana na huu uchuro wako. Vipi, unaota niwe marehemu?
Hahahaaa, kicking the man from all angles, Archi from the right Madame from the right! Sijui kama ataamka huyo😀😀😀Hahahahaha afadhal umekuja wkutambue kama we ndio bavu wangu wa pili
Atakojoa dagaa honey hahahaah
Hahahahahaha yan jana napata notification nyingi zinatoka kwake kaanzisha thread ndio mana nkamwambia alale kwa kweli mara aniite mkewe hee imekujaje tena na archy alikotokea hata sjui ila memkuta tu kafika haya n zaidi ya mahabaHahahaaa, kicking the man from all angles, Archi from the right Madame from the right! Sijui kama ataamka huyo😀😀😀
And you know what Madame S? I really admire you people....you both keep it up otherwise you will have to answer to me...It's lovely seeing couples that match, and you doHahahahahaha yan jana napata notification nyingi zinatoka kwake kaanzisha thread ndio mana nkamwambia alale kwa kweli mara aniite mkewe hee imekujaje tena na archy alikotokea hata sjui ila memkuta tu kafika haya n zaidi ya mahaba
hahaaaa "",bangi hizi" kwani " kuzimu ",huwa" wanatumia"pesa""??Haya mambo ya kukufahamiana kwenye mitandao tena kwa id fake shida kweli, kuna ID zimepotea kweli humu , we unazan mtu yupo bussy na kusaka mafweza kumbe mwenzako keshakufa na sio member wa jf tena ni member wa kuzimu/mbinguni. Cha msing tuseme R.I.P wote walioleft grp tunaowajua na tusiowajua au ka vip kwa wale tusiojulikana ni vzr tukapeana R.I.P mapema kama mimi napokea ramb ramb zangu kuanzia leo. ahsanteni kutoa n moyo si utajiri