Marehemu wetu wa JamiiForums

Marehemu wetu wa JamiiForums

Haya mambo ya kukufahamiana kwenye mitandao tena kwa id fake shida kweli, kuna ID zimepotea kweli humu , we unazan mtu yupo bussy na kusaka mafweza kumbe mwenzako keshakufa na sio member wa jf tena ni member wa kuzimu/mbinguni. Cha msing tuseme R.I.P wote walioleft grp tunaowajua na tusiowajua au ka vip kwa wale tusiojulikana ni vzr tukapeana R.I.P mapema kama mimi napokea ramb ramb zangu kuanzia leo. ahsanteni kutoa n moyo si utajiri

Mmmhhhhhh!!
 
Wapumzike kwa Amani, hivi ID yako ya mwanzo ilikua ipi
Screenshot_20180721-045311.jpg
 
Hahahaaa, kicking the man from all angles, Archi from the right Madame from the right! Sijui kama ataamka huyo😀😀😀
Hahahahahaha yan jana napata notification nyingi zinatoka kwake kaanzisha thread ndio mana nkamwambia alale kwa kweli mara aniite mkewe hee imekujaje tena na archy alikotokea hata sjui ila memkuta tu kafika haya n zaidi ya mahaba
 
And you know what Madame S? I really admire you people....you both keep it up otherwise you will have to answer to me...It's lovely seeing couples that match, and you do
 
Haya mambo ya kukufahamiana kwenye mitandao tena kwa id fake shida kweli, kuna ID zimepotea kweli humu , we unazan mtu yupo bussy na kusaka mafweza kumbe mwenzako keshakufa na sio member wa jf tena ni member wa kuzimu/mbinguni. Cha msing tuseme R.I.P wote walioleft grp tunaowajua na tusiowajua au ka vip kwa wale tusiojulikana ni vzr tukapeana R.I.P mapema kama mimi napokea ramb ramb zangu kuanzia leo. ahsanteni kutoa n moyo si utajiri
hahaaaa "",bangi hizi" kwani " kuzimu ",huwa" wanatumia"pesa""??
 
Back
Top Bottom