Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

SANCTUS ANALECTUS Hebu rejea kwenye kile kitabu cha Michael H. Hart cha 100 most influential people in the world
100 most influential people in the world |
Tuwaenzi watu kwa jinsi walivyoishi hapa duniani na ujumbe wao waliyouacha baada ya kuondoka kwao.
Na kila jamii ya watu wawaenzi watu wao wanaowaona wanafaa kuenziwa.
 


Unasema "Bislamah",neno la Kiarabu lina Herufi 19, je,neno hilo katika Lugha yako lina herufi ngapi? Kwa hiyo,Mungu anaongea Kiarabu tu?
 

1. Umetoa wazo zuri na ndio kiini cha mjadala huu. Lakini ungetusaidia sana kwa kutuambia hao 100 influential people,nafahamu wakiwemo na hao niliowataja katika mjadala,wote tuwaenzi kama Mitume,wanaharakati,manabii,wanasiasa au vinginevyo.

2. Ukisema kila kundi au eneo Fulani ndio wenye jurisdiction ya kusema nani ndiye nani huoni kama unataka kutoa nafasi kwa watu wengine wanaona mapungufu kwa watu fulani waache kuyanyooshea kidole?

3. Suala la mtu kuwa influential sio tiketi sasa ya kuvaa kila cheo tu. Kwa mfano,sasa wewe ni Rubani mzuri Wa ndege lakini hapo hapo unajigeuza na kujiita Dreva mzuri wa Malori bila qualification. Ndio hicho unachotaka kueleza?
 
We ulitaka aonane nae msalabani, pale mnapodai kuwa alisurubiwapo?

MBona alimwita alishindwa kuja kumuokoa.

Acha ujinga wewe muabudu masanamu.

Kwa maswali haya,sasa Umejibu hoja au umeendelea kuwa Nung'aembe wa mijadala?
 
Hoja yako kuu ni kutaka kujadili utume wa Muhammad hao wengine umewaweka ili kupoteza maboya

Ila sijui kwanini unahoji utume wa kupewa wa Muhammad ili hali na wewe kanisa lako linafanya vilevile kwa watu wake kwa kuwapa utakatifu kwanini usihoji hili?

Muhammad alipewa utume wake na bwana Waraqa sawasawa na nyie mnavyotoa utakatifu kwa watu usitake kutoa kibanzi kwa mwenzio wakati wewe una boriti
 
Kuna mengi huwa siwaelewagi,Utasikia yesu alikuwa mwislamu na aliingia msikitini na alivua viatu- Wakati Yesu aliondoka Duniani kabla ya uislamu kuanzishwa

Watakusomea na kutumia mistari ya Bibilia kukazia mambo yao flani flani -Mwisho wa siku ukiwapa Aya iliyoshiba katika waliulizalo utasikia hatuamini Bibilia siyo kitabu cha MUNGU au Bibilia ni Kava.

Oooh uslamu na mtume wametajwa kwenye Bibi lia -ukifwatilia ni ile ahadi ya Roho mtakatifu aliyosema yesu

Asicho penda MUNGU au kilicho mgadhibisha sana Ndicho wakitendacho
Mf: Hakuna ufrauni bila uislamu,Vita na visasi,Uchawi/Mapepo/Maalibadri na nk

Nimepata point kama Mtume wao alivyokuwa anakabwa na kupewa utume Ndio maana wanatumiaga mabavu kueneza Hichi kikundi chao kama mwasisi alivyo Lazimishwa

Ntakuwa wa mwisho kuamini kwamba aliyekuwa anamkaba ni Malaika
 

1. Njoo vizuri Mkuu. Usiwe na papara. Hivi, Tutakufundisha hadi lini uweledi Wa kuziendea mijadala kisomi?

2. Nimetoa hoja kwa vielelezo vya watu watano. Lete hoja za nguvu katika kumchomoa yeyote unayeona haguswi na hoja zangu. Hakuna mahali popote katika mjadala huu nimesema Muhammad sio Mtakatifu. Mimi ni nani hata niseme Muhammad hayu Mbinguni? Tofautisha hayo mambo mawili: mtume na mtakatifu.

Mamlaka ya kutangaza watu watakatifu ni mamlaka waliyopewa Mitume na Mahalifa wao kutoka kwa Yesu. Yesu alimtangaza Yule Kibaka msalabani kuwa Mtakatifu. Na Yesu ametupatia Kanisa mamlaka yote: kutangaza au kukataza jambo lolote ilimradi ni kwa sifa na manufaa ya walimwengu na Mbingu pia.

3. Unatokwa mapovu kwa sababu unafahamu kwamba hata "Nabii" wako Ellen White naye alijipachika unabii?
 

1. Pointi nyingine ya kuongezea ni hii: Sio mabavu tu yaliyotumika kumuingizia "mtume" wahayi bali pia kwamba ni kwa sababu mtume alieleza vitu vinavyoelea elea ndio maana hata leo wafuasi wake nao hawaeleweki. Wanaruka ruka tu. Wanashika hapa wanaacha na kisha wanarukia kule.
 

Malaika hawezi kumkaba MTU kizembe hivyo. Hadi malaika amkabe MTU maana yake amekasirika. Je,Malaika anaweza kumkaba mtu na bado akabakiwa na nguvu za kutoka anahema hadi kwa mkewe Khadija nyumbani na kisha kwa kasisi Waraqah kupigiwa ramli?
 
Soma vizuri Mkuu. Limetolewa swali. Lete hoja makinifu katika kumchomoa kwenye Uanaharakati au kumuingiza kwenye utume.
inahitaji akili ndogo sana kujua....kwa mtu mbishi kama wewe huwezi hata kuelewa kitabu chako mwenyewe!!!
 
Malaika hawezi kumkaba MTU kizembe hivyo. Hadi malaika amkabe MTU maana yake amekasirika. Je,Malaika anaweza kumkaba mtu na bado akabakiwa na nguvu za kutoka anahema hadi kwa mkewe Khadija nyumbani na kisha kwa kasisi Waraqah kupigiwa ramli?


Hivi historia ya mtume Muhammad umeisoma wapi ? Malaika hakumkaba Muhammad.

Na usiwe na akili ndogo na ujifunze kuweka kila kitu mahala pake.

Mtume hakukabwa bali aliminywa na kupewa kashi kashi na kuonyeshwa umuhimu na haja ya kujifunza. Kwa maana alipewa au alikuwa anaonyeshwa muendelezo wa maandalizi ya kupewa utume kwani utume si jambo lelemama.

Inaonekana kwanza tabia za malaika huzijui. Unasema malaika ana kasirika ? Na vipi umlinganishe malaika na sifa za kibinadamu ?
 
Siwezi kughafirika kwa hoja mufilisi kama yako ya kuwaonea wivu waislamu na wao kumpachika utume Muhammad wakati na wewe dhehebu lako linafanya hivyohivyo

Yaani mnakaa kikao mnajadili huyu kwa jinsi alivyoishi anafaa kuwa mtakatifu ha ha binadamu mdhambi anampa utakatifu binadamu mwenzie halafu wenzako kumpa utume mtu wao wewe imekuuma kwelikweli

Wote mna makosa kwa kuingilia kazi inayopaswa kufanywa na Mungu pekee, ni Mungu peke yake anayechagua mitume kwa ajili ya kazi hiyo na pia ndiye anayewajua watakatifu wake waliopo duniani na mamlaka hayo hakuyakasimisha kwa kikundi cha wakatoliki
 
sawasawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…