Kwa faida ya wengine wanaohitaji ufahamu zaidi ni kuwa ushahidi huu wa kisayansi umesimamia ktk sayansi ya hesabu. Maana ktk hesabu 1+1+1=3 ni ushahidi ya kisayansi. Lkn 1+1+1=1 huu ni ushahidi wa kibubusa.
Quran inathibiti kuwa ni Maneno ya MwenyeziMungu kwakuwa haiwezi kuongezwa, kurekebishwa wala kupunguzwa. Na ukweli jaribu kufanya hivyo utashindwa ukiwa ktkt ya safari yako. Sababu moja wapo ni kuwa Quran kama muujiza inakuwa namba 19.
Namba 19 ina maana gn ktk Quran?
- Aya ya kwanza ni neno (1:1), "Bismalah" kina herefi 19 herufi za kiarabu.
- Quran ina surah (chapters 114, ambazo zinagawika kwa (19) kwa maana 19* 6=144
- Quran ina ayah 6346, inagawanyika kwa (19)x334 =6346
- is the total of 6346 ni sawa na ukizijumlisha 6 + 3 + 4 + 6 = 19
- Wahayi (Maneno ya MwenyeziMungu) ya kwanza kuteremshiwa mtume hapo ktk surah ya (96:1-5) Ni Maneno 19 na herufi 76 ambayo kwayo inagawanyika kwa (19) x 4.
- Surah ya kwanza kuteremshwa na kukamilika ni (surah 96) INA aya 19 na herufi za kiarabu 304 hii ni sawa na (19 x 16)
Sasa kama wewe huitaji huu ushahidi unaoendana na karne tuopo ya sayansi bali Quran inakupa challege ktk surah ya
Baqarah 2:23
And if you are in doubt about what We have sent down upon Our Servant [Muhammad], then produce a surah the like thereof and call upon your witnesses other than Allah, if you should be truthful.
kama mtume aliiandika tu yeye Quran kama kalamu za waandishi zilizoiingizwa kwenye bibilia, na kukifanya kuwa ni maandiki yenye maslahi Kwa watu weupe,
basi wewe jaribu kuiandika Quran na aya zako hizi ziwe verified Kwa no 19.
Luka 1:1
need u say more...