Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

Ndio Kisa tunawaelimisheni kwamba Imani lazima iendane na Elimu au kufikiri. Nje ya hapo,ni kuendeleza Yale Yale ya Muhammad kupanga,kuratibu na kisha kutekeleza mauaji ya watu wasomi waliokuwa wanajitokeza kumpinga kwa kumpasukia wazi wazi kwamba kile alichokuwa anadai ni ufunuo(wahyi) au Kurani ilikuwa si chochote isipokuwa udokozi Wa Kazi za kitaaluma za watu wengine.

Nimekueleza haya kwa sababu unaonekana umesoma mada hii lakini umeshindwa kufahamu maudhui ni nini na umeshindwa kufahamu hoja zinazohitajika kujibu mapigo. Hebu jitahidi sana kukazania suala la Shule. Nina imani ukizingatia utafika mbali.
Hivi unafikir kuna mtu ambaye ajawai kupingwa ? Musa alikwenda kwa FARAO na miujiza lakini bado alipingwa sasa ajabu hiko wapi Mohamadi kupingwa? hizi elimu mnasoma wapi?
 
Ni heri kuwa bwege Wa kipato kuliko kuwa bwege Wa kifikra. Muhammad alipata tabu sana kwa watu ambao hawakuwa mabwege Wa kifikra na alipoona hawezi kuwafanya wafuasi wake kwa hoja akakimbilia kuwaua. Njia pekee uliyobakia nayo na ya uhakika kumunasua Muhammad kwenye kundi la Wanaharakati ni kueleza beyond reasonable doubt jinsi alivyopata utume wake. Ueleze pasipo mashaka kule pangoni kilimpata kitu gani hasa? Je,ilikuwa ni lazima tu Mungu aonane naye pangoni? Kwani Mungu anaishi Pangoni?
Kwa hiyo unataka kutuambia Mungu hawezi mtokea au mtuma malaika wake kama uko pangoni? au hoja yako iko wapi usaidiwe maana inaonekana pango kwako ni kitu cha ajabu kweli kweli
 
Kuna mengi huwa siwaelewagi,Utasikia yesu alikuwa mwislamu na aliingia msikitini na alivua viatu- Wakati Yesu aliondoka Duniani kabla ya uislamu kuanzishwa

Watakusomea na kutumia mistari ya Bibilia kukazia mambo yao flani flani -Mwisho wa siku ukiwapa Aya iliyoshiba katika waliulizalo utasikia hatuamini Bibilia siyo kitabu cha MUNGU au Bibilia ni Kava.

Oooh uslamu na mtume wametajwa kwenye Bibi lia -ukifwatilia ni ile ahadi ya Roho mtakatifu aliyosema yesu

Asicho penda MUNGU au kilicho mgadhibisha sana Ndicho wakitendacho
Mf: Hakuna ufrauni bila uislamu,Vita na visasi,Uchawi/Mapepo/Maalibadri na nk

Nimepata point kama Mtume wao alivyokuwa anakabwa na kupewa utume Ndio maana wanatumiaga mabavu kueneza Hichi kikundi chao kama mwasisi alivyo Lazimishwa

Ntakuwa wa mwisho kuamini kwamba aliyekuwa anamkaba ni Malaika
Unafahamu kama Mungu wako alikabwa mpaka akamchezea rafu mja wake? au unatoka povu tu kwa Mohammad kukabwa , badala ya kustaajabu Mungu kukabwa wewe unastaajabu mtu kukabwa, kalagha bao
 
1. Kuminywa hadi Muhammad kujihofia kufa muda wowote sio kukabwa ni nini? Umesahau alichofika na kumueleza Khadija anavyojisikia?

2. Ina maana Mungu hana njia nyingine ya kumuelewesha binadamu pale anapokuwa na Kichwa kigumu hadi atumie nguvu?

3. Je,Mungu wakati anamtuma Malaika kwa Muhammad hakuwa anafahamu kwamba Muhammad ana Kichwa kigumu cha kuelewa hata asubirie kwenda kumdhalilisha hivyo MTU mzima na watoto na familia? Wewe unafikiria akina Kassimu walijisikiaje kumuona baba yao anarudi nyumbani amelowa majasho?
Haya maswali uliyouliza hapa ni sawa na kuuliza kwanini wewe Mungu ajakuumba mwanamke? Jibu ni rahisi Mungu anafanya anachoona yeye kinafaa sio unachoona wewe kinafaa , ndio maana Mungu alimuacha Yohana akatwe kichwa kwa sababu aliona inafaa , au nikuulize swali kwani Mungu alishindwa kumuokoa yohana asiuliwe?
 
Kama kweli Mihammad alifanyika mtume kupitia Padri wa kanisa katoliki(Waraqah)Na mtawa wa kanisa katoliki (Khadijah).Naanza kuamini vitu viwili;
Kwanza ile story ya Alberto Rivera kuhusu uislamu kuasisiwa na majesuit
Pili,quran ni total pragialism na fabrication ya bible katika sense ya kwamba hata hiyo inayoitwa miujiza ni coding za jesuits.Refer Da vinci codes na yafananayo na hayo.
Tatu ni umuhimu wa mji wa Jerusalem na namna ambayo muhammad aliufanya uwe mtakatifu uoanishe na lengo la kuanzisha uislam na vatican
Hili dai ni uongo mtupu kijana , waraqah hakuwai kumpa utume nabii Mohamadi popote pale kama yupo anaeweza kuthibitisha kuwa waraqah kampa utume nabii Mohamadi karibu sana
 
"Sasa wapi amedhalilishwa ?"

Wewe huoni kwamba Muhammad alidhalilishwa? Mtu mzima na watoto waliokuwa wanamtegemea baba yao kama mlinzi Wa familia walijisikiaje kumuona Baba yao amerudi huku amelowa jasho chapachapwa?
Jasho ni maumbile , hata siku moja jasho halijawai kuwa ni udhalilishi, unajenga hoja kwa vitu vya kitoto kabisa
 
Naunga mkono hoja maana hawana tofauti kubwa na Mtume.
 
Sijawahi kujua maisha ya Mt Mohamed. Ahsante kwa hilo!
Maswali yangu yanaweza kuwa nje ya ulichokusudia.
1 Kabla ya kutokewa na maono, alikuwa dini gani?
2 Kama hata kabla ya Uislam, watu Walienda kuhiji Makka kwa kuabudu miungu mbalimbali, je hili jambo limechipukia kutoka upagani?
3 Kuna uwezekano hizi dini mbili kubwa na chimbuko moja, na kadiri muda ulivyosogea ndivyo watu wakazidi kutengana?
Ni hayo tu.
 
Kwa kuwapitia wote, naona hao wote isipokuwa Mt Mohamed, hawastahili kuwa manabii. Kwamba alikuwa akitokewa na mjumbe anayeaminika anatumwa na Mungu, ni sababu pekee ya yeye kuwa tofauti. Kuhubiri na kufundisha maelezo kutoka kwa Mungu ni tofauti na uanaharakati. Yeye Sawa yake ni Yesu.
Mahatma, Lincoln na Teresa, wanaweza kuwa pamoja kwa utu wao, ila bado sio manabii au mitume.
Mandela amefungwa kipindi kirefu, ila sioni kama kuwa kwake ndani kulikuwa kunamsaidia yeyote, zaidi ya yeye kunyimwa uhuru wake. Nina imani wako waliopoteza maisha, kupata vilema na hasara kubwa kwa kumpigania Mandela ila sio kinyume chake. Nyerere angeweza kuwa juu kabisa Kati ya waliojitolea kwa wengine ila si Mandela.
 
Sasa mkuu mbona hautaki kumjadili Paulo ambaye nae anadai alitokewa na Yesu?

Hivi unafahamu kutokewa kwa Paulo kuliacha au kuliambatana na mambo gani ambayo yalipita nguvu za kiasili? Kwa Muhammad kulitokea hivyo?
 
Sijawahi kujua maisha ya Mt Mohamed. Ahsante kwa hilo!
Maswali yangu yanaweza kuwa nje ya ulichokusudia.
1 Kabla ya kutokewa na maono, alikuwa dini gani?
2 Kama hata kabla ya Uislam, watu Walienda kuhiji Makka kwa kuabudu miungu mbalimbali, je hili jambo limechipukia kutoka upagani?
3 Kuna uwezekano hizi dini mbili kubwa na chimbuko moja, na kadiri muda ulivyosogea ndivyo watu wakazidi kutengana?
Ni hayo tu.

1. Kabla ya "kupewa" utume alikuwa ni mpagani na yeye alikuwa ni muabudu miungu Wa kabila lake la Kikureshi.


2. Kile unachokiona leo kuwa ni Hija ni transformation ya hija ya miungu midogo midogo na kubakiza mungu mmoja aliyeitwa "Allah" aliyekuwa hapo Kaba. Kulikuwa na jiwe moja kubwa jeusi lililoitwa "Allah" ambaye ndiye alikuwa mungu mkubwa miongoni mwa miungu wenu.
 
Ujumbe alopewa muhamad ausome ni mfupi sana kushindwa kuukariri ni ushahidi wa ukilaza wake
 
Sijawahi kujua maisha ya Mt Mohamed. Ahsante kwa hilo!
Maswali yangu yanaweza kuwa nje ya ulichokusudia.
1 Kabla ya kutokewa na maono, alikuwa dini gani?
2 Kama hata kabla ya Uislam, watu Walienda kuhiji Makka kwa kuabudu miungu mbalimbali, je hili jambo limechipukia kutoka upagani?
3 Kuna uwezekano hizi dini mbili kubwa na chimbuko moja, na kadiri muda ulivyosogea ndivyo watu wakazidi kutengana?
Ni hayo tu.
MAJIBU
1. hakuwa na dini wala hakuwa mshirikina , bali alikuwa mkweli na mwaminifu
2.Asili ya hiyo nyumba ya kuhiji sio wapagani, Quran imeweka wazi mjenzi wa nyumba hiyo ni Ibrahim na mwanae Ishmael, wapagani walivamia tu nakujimilikisha tu ,
3.Uislamu umeanza muda mrefu alichofanya mtume ni kuhuisha, kuhusu ukristo wenyewe wapo watakujibu alianzisha nani?
 
Ujumbe alopewa muhamad ausome ni mfupi sana kushindwa kuukariri ni ushahidi wa ukilaza wake
Hapa ndio napata wasiwasi na akili yako, kwa mara ya kwanza Mohammed anatokewa na malaika kibinadamu lazima awe na hofu , kwa hiyo ujumbe kutoukariri ni hofu za kibinadamu
 
Na kingine kukabwa na kuona vitu kama nyota ni matokeo ya oxygen deprevation iliyopelekea akapata visible hallucination probably ni kutokana na meditation yake kwenda wrong,baada ya kwenda kumsimulia mwenzake na kudanganyana plus influence ya mke wake ndo akaanza kujiita mtume kama musa na ibrahimu
 
Back
Top Bottom