kama maendeleo ya libya , au sio mkuu ?Hiyo serikali ya kifalme ya Saudi Arabia iliwekwa madarakani na Marekani na Uingereza mwanzoni mwa miaka ya thelathini.
Hii serikali ya kifalme haina mustakbali wowote huko mbele na huyu mfalme wa sasa ndio atakuwa wa mwisho baadaye Saudi Arabia itakuwa na utawala wa kidemokrasia ambao utatenganisha siasa na mambo ya dini hali ambayo itapelekea Saudi Arabia kuwa na maendeleo makubwa.
Uzuri US ana kete zake haendi kinyonge, kingine mafuta anayo, na ndiyo maana ana ubavu wa kuamua kufanya hayo anayoyafanya sasa hivi na siku zijazoNchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo. Matokeo yake bunge lao wameanza kusema wataanza kupitia upya sera ya mahusiano na kati yake na Saudia.
Naona sasa wameona hakuna namna maana kwenye OPEC + Russia yuko ndani ya nyumba.
Chanzo: DW mchana.
Nilikuwa natazama aljazeera nikaona anaichimba mkwara Saudi Arabia kuwa kuna consequences za kuungana na mrusi.Nchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo. Matokeo yake bunge lao wameanza kusema wataanza kupitia upya sera ya mahusiano na kati yake na Saudia.
Naona sasa wameona hakuna namna maana kwenye OPEC + Russia yuko ndani ya nyumba.
Chanzo: DW mchana.
Nilikuwa natazama aljazeera nikaona anaichimba mkwara Saudi Arabia kuwa kuna consequences za kuungana na mrusi.
Sasa jambo la kuchekesha ni kwamba wao marekani hawaongezi...
Yaani wanachekesha sana.Unajua marekani sijui wanatuchukuliaje watu ambao si wamarekani.
Wasipohafikiana tutaumia sana.Duu, hawa watu inabidi wakae pamoja. Vinginevyo dunia itaingia kwenye shida kubwa sana.
Wewe unaona mpaka sasa hivi ni nani anayelalamika kati yao?Sasa Saudia bila US itakuwaje
Na usikashangaa bibi tozo mwezi ujao mafuta yanapanda kisa tu opec imetangaza kupunguza uzalishajiWewe unaona mpaka sasa hivi ni nani anayelalamika kati yao?
Kwani Saudia haina maendeleo? Au sijakuelewa. Isije ikawa umemaanisha maendeleo ni uhuru wa watu kuoana jinsia moja.Hiyo serikali ya kifalme ya Saudi Arabia iliwekwa madarakani na Marekani na Uingereza mwanzoni mwa miaka ya thelathini.
Hii serikali ya kifalme haina mustakbali wowote huko mbele na huyu mfalme wa sasa ndio atakuwa wa mwisho baadaye Saudi Arabia itakuwa na utawala wa kidemokrasia ambao utatenganisha siasa na mambo ya dini hali ambayo itapelekea Saudi Arabia kuwa na maendeleo makubwa.
Malekani amewekeza akili yake nyingi pale Saudi Arabia bila yao kuelewa ivyo. Wao wanakaaa wanawaza kuzaa na kuenda msikitini, subiri kinuke waanze kukimbizana na kumfata USA awasaidie. Dunia uwanja wa fujo, na asiyekuwa na nguvu kafaHiyo serikali ya kifalme ya Saudi Arabia iliwekwa madarakani na Marekani na Uingereza mwanzoni mwa miaka ya thelathini.