Marekani achanganyikiwa baada ya nchi za OPEC Plus kutangaza kupunguza uzalishaji wa mafuta

Mmechelewa sana
 
Kwahiyo OPEC wanafanya vyema kupunguza uzalishaji ili mafuta yapande bei? Wabongo kama siyo ukichaa tuna utindio wa ubongo
chimba chimba utajua ukweli na sio kupandisha bei ya mafuta kama unavyosema.

kulikua na sababu zipi za kuweka vikwazo vya mafuta ya urusi mzalishaji mkubwa wa Duniani alafu gesi ya urusi inayokwenda Ulaya haikuwekewa vikwazo?

kumbuka Urusi na member wa OPEC.
 
Kuna wale Wahouth WA Yemen na Iran , wanasema don't bite the hand that feeds you ,naona wamevimbiwa hawa wa Saudia ngoja balaa lianze hizo kobazi ,madela na vilemba vyao wataviona vizito
Ukiwa na pesa mambo yanakaa sawa tu......maana akiyajenga na hao houthi bado pigo kwa marekani.......mashariki ya kati mmarekani anamuhitaji sana Saudia kuliko Saudia anavyomuhitaji Mmarekani kwa sasa
 
Venezuela hayupo mkuu
 
Rasmi sasa: Uzalishaji wa Mafuta kupungua na Kundi la OPEC +.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…