Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Nakuomba sana Marekani Afrika bado inakuhitaji sana,
Sisi ni kama watoto bado hatuwezi wenyewe unajitoa unajipeleka wapi Marekani?
Marekani baba kama kuna mahali tumekukosea tunaomba utusahamee, tunakuomba sana.
Angalia unajitoa je ARV tutakuwa tunapata wapi?
Na kuna zile neti je?
Kuna kipindi ulitupa misaada mingi sana tena kipindi tukipitia kwenye matatizo makubwa na tulikuwa tunakushukuru,.
Sisi ni bado watoto kwako wenyewe hatuwezi rudi uwe nasi.
Bado tunahitaji hisani yenu watu wa Marekani.
Ni mdomo tu tumekuwa nao ila viongozi wetu hawawezi kitu bila ya wewe Marekani.
Viongozi wetu wamejaa usiasa na porojo nyingi huku wakiwazia matumbo yao sana kuliko maslahi ya wananchi wao.
Nakuomba Marekani kama kuna uwezekano basi rete hata viongozi wenu waje kuiongoza Afrika.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️