Marekani: Afrika inakuhitaji rudi uwe nasi

Marekani: Afrika inakuhitaji rudi uwe nasi

Utashangaa kuna watu wanaiponda USA wakati kuna mambo ya msingi sana wanazisaidia nchi za kiafrika. Hao China sijuwi, Iran, Russia hawana muda na sisi zaidi ya kututumia tu.
Propaganda hizo.

Kwa hiyo unasema Watanzania wachague pande ? Halafu iweje.

Hakuna mwenye muda na sisi Period.

Wao wana interst zao za kujitajirisha tyu. Awe Cihna Urusi Marekani.

Sasa unasema bora shetani unayemjua😂😂😂😂😂


Nyerere aliwahi kusema, Umasikini mkubwa ni ule wa Fikra. Huezi kuwa unalialia kukomholeqa wakati fikra zako hazijakombolewa. Na sisemi kama ww in plural. Weye.

Kwanini US asipondwe?

Yaani upande mmoja hutaki misaada😢😢😢 na upande mwingine unalilia😭😭😭misaada

Jikomboe mkuu.
 
Afrika tunasifika kwa kuoa wake wengi na kupigana miti, sasa mna utoto gani hadi msaidiwe na trump?
Unarokota maneno unayakariri halafu unatapika nyongo🤣🤣🤣🤣

Kuna shida gani ya kuoa wake wengi?

Nini kinachokuuma hivyo ww.

Kumbuka tu Kupigana miti ni Afya.

Hoja zako zinakinzana 🤩🤔

Eti tunasifika. Na ww na akili zako zinakutuma kusema nn? Manake hayo ni maoni ya hao wanaotusifia, ww unafikiri tuna sifa gani?
 
Unarokota maneno unayakariri halafu unatapika nyongo🤣🤣🤣🤣

Kuna shida gani ya kuoa wake wengi?

Nini kinachokuuma hivyo ww.

Kumbuka tu Kupigana miti ni Afya.

Hoja zako zinakinzana 🤩🤔

Eti tunasifika. Na ww na akili zako zinakutuma kusema nn? Manake hayo ni maoni ya hao wanaotusifia, ww unafikiri tuna sifa gani?
Sasa uache upumbavu wa kulilia misaada, uanaume unaishia kuoa tuu?
 
Ukitaka kummaliza mtu mfanye akutegemee wewe, hii ndio njia katili sana lakini ni yenye faida mnooo, kuiacha hii njia gharama yake ni kubwa sana kuilipa.
 
Sasa uache upumbavu wa kulilia misaada, uanaume unaishia kuoa tuu?
Hapo tu nisha kudharau. where is the substance in your post?

Umeshikilia talking points za bigots.

Kuoa kuna tatizo gani?😂😂😂😂😂😂👉💥 Kulia kuna tatizo gani?😂😂😂

Do your research. OK
 
Kuna watu humu wanaona kidole kidogo cha mwisho ni kama hakina kazi.
Sasa ngoja kikatike ndio utauona umuhimu wake!

Uzuri zaidi story yangu ipo kwenye wakati uliopo. Yaani Marekani imeshajitoa tayari,.

Mda wa usiku wa manane unakaribia.
Mda wa giza kutanda katika Afrika nyeusi upo tayari.
Tungoje vilio vikitawala kila pande.

Yote ya yote
Leo tuko 2025

Je kuna muafrika naeza mpa pembe ya ndovu na akaifanya kuwa bidhaa?
 
Duuh😭nilkua sina mood ya kucoment lakin imebidi.Hivi wew unaesema marekan ndo baba arudi kutubeba kwani hatujiwezi japo kidogo tu, alitubeba toka 1962 until now n miaka mingap pia mtoto akishakua mkubwa lazima atoke kwao ajitafutie sas ni mda wetu na sisi kujikung'uta vumbi na kuachia mashuka,so kwel kwamba Africa hatuna uwezo wa kifikra na kiakili bali shida ni kujiamini na kuacha utegemezi.
 
Back
Top Bottom