Marekani ambayo imekosolewa kwa kuhodhi chanjo itagawa dozi Milioni 60 za AstraZeneca na nchi nyingine

Marekani ambayo imekosolewa kwa kuhodhi chanjo itagawa dozi Milioni 60 za AstraZeneca na nchi nyingine

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Marekani itagawana dozi za Chanjo ya AstraZeneca zipatazo Milioni 60 na Mataifa mengine. Licha ya kuwa Mamlaka hazijatoa idhini ya AstraZeneca kutumika kwa Umma, Marekani imekuwa na akiba ya Chanjo hizo.

Wakosoaji wamekuwa wakiishutumu Marekani kuhodhi Chanjo wakati Nchi nyingine zina uhitaji mkubwa. Mwenendo wa janga la CoronaVirus Nchini India pia umeweka shinikizo kwa utawala wa Rais Joe Biden.

Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) imeidhinisha Chanjo tatu ambazo ni Pfizer-BioNTech, Moderna na Johnson & Johnson.

=====

The US will share up to 60 million doses of its AstraZeneca vaccine with other countries as they become available, the White House has said.

The doses will be able to be exported in the coming months after a federal safety review.

The US has a stockpile of the vaccine even though its regulators have not yet authorised it for public use.

Critics have accused the government of hoarding the vaccine, while other countries are in desperate need.

Last month President Joe Biden pledged to share about four million doses of the AstraZeneca vaccine with Mexico and Canada - both of which have approved the jab.

The crisis in India has also piled pressure on the Biden administration to share US health resources.

On Monday, the White House said it expected that about 10 million doses of the AstraZeneca vaccine could be released when the Food and Drug Administration (FDA) finishes its review in the coming weeks.

It said that another 50 million doses were in various stages of production.

At a news briefing, White House spokeswoman Jen Psaki said FDA officials would carry out quality checks on doses before they were exported.

"Our team will share more details about our planning and who will be receiving offers from here, but we're in the planning process at this point in time," she added.

The US has already announced that it will provide raw materials for Indian vaccine manufacturers as the country battles a devastating surge in cases.

In a "warm and positive" phone call with Indian Prime Minister Narendra Modi on Monday, President Biden promised more emergency assistance "including oxygen-related supplies, vaccine materials and therapeutics", a White House statement said.

Washington is also looking at supplying oxygen, Covid tests, personal protective equipment (PPE) and the antiviral drug remdesivir to India's health service.

The FDA has so far authorised three vaccines against Covid- 19 - Pfizer BioNTech, Moderna and Johnson & Johnson (Janssen). Experts say it looks likely that these will provide all the country's needs and the AstraZeneca jab may not be needed.

According to the latest figures, more than 53% of adults have so far received at least one dose of vaccine.

Source: BBC
 
Marekani inasambaza Chanjo ya Uingereza!

Kwanini haisambazi ile Chanjo yake ya Johnson johnson badala yake wanasambaza Astra Zeneca ya Uingereza?
 
Baada ya kuona haina ishu ndio sasa wanataka waje kuidampo Afrika.

Nashauri apewe Mbowe awape wafuasi wake.
Hiyo chanjo ya AstraZenac si inatengenezwa Uingereza? Nilisoma wikipedia na ndiyo yenye shida zaidi. Pfizer wanayotengeneza wao mbona hawagawi.

Halafu nimesikia mhindi analalamika kuwa Marekani kazuia material ya za kutengeneza chanjo kuuzwa nje. Na India ni kati ya nchi ambazo zinaongoza katika kutengeneza chanjo mbalimbali.
 
Marekani inasambaza Chanjo ya Uingereza!

Kwanini haisambazi ile Chanjo yake ya Johnson johnson badala yake wanasambaza Astra Zeneca ya Uingereza?
Na hiyo ni chanjo ambayo ina shida sana hadi kuna nchi zinataka kwenda mahakamani kuishitaki kampuni iliyotengeneza hiyo chanjo.
 
Marekani wamegoma kutoa recipe na intellectual property rights kwa mataifa mengine kutengeneza Pfizer na Moderna. Hizo chanzo za mmarekani hazitakaa zitoke nje ya Marekani.
 
Marekani wamegoma kutoa recipe na intellectual property rights kwa mataifa mengine kutengeneza Pfizer na Moderna. Hizo chanzo za mmarekani hazitakaa zitoke nje ya Marekani
... wawape wachina wafyatue?
 
Baada ya kuona haina ishu ndio sasa wanataka waje kuidampo Afrika.

Nashauri apewe Mbowe awape wafuasi wake.
Simjui Mbowe wala Kagame hao wote wamepata chanjo, ikija sitapoteza muda, nakubali kuchomwa hasa ikizingatiwa ni hiari na kama sumu mabeberu hawashindwi kwa vyovyote, kuna dawa za malaria, kuna simu kuna computer vyote hivyo hatutengenez sisi, na kama wakiamua hivyo vifaa vinaweza kuwekewa mionzi kama nia ni ovu nk, siwez kuwa mpuuzi kuamini kuwa eti chanjo ya Corona pekee ndiyo wanachoweza kutudhuru hao mabeberu, bali naamini wakiamua wana vyanzo vingi vya kutudhuru. Hivyo chanjo ikija, sitasikiliza maoni haya ya kuokoteza, wakati hata dawa tu za malaria hatuna, tunaagiza chemicals hizo kutoka huko huko.
 
Nyie chanja naneni mi tumaini langu liko Kwa mungu......maana ndio mwisho WA yote
 
Marekani inasambaza Chanjo ya Uingereza!

Kwanini haisambazi ile Chanjo yake ya Johnson johnson badala yake wanasambaza Astra Zeneca ya Uingereza?
Nimejiuliza hili swali pia.... Sijapata Majibu
 
Simjui Mbowe wala Kagame hao wote wamepata chanjo, ikija sitapoteza muda, nakubali kuchomwa hasa ikizingatiwa ni hiari na kama sumu mabeberu hawashindwi kwa vyovyote, kuna dawa za malaria, kuna simu kuna computer vyote hivyo hatutengenez sisi, na kama wakiamua hivyo vifaa vinaweza kuwekewa mionzi kama nia ni ovu nk, siwez kuwa mpuuzi kuamini kuwa eti chanjo ya Corona pekee ndiyo wanachoweza kutudhuru hao mabeberu, bali naamini wakiamua wana vyanzo vingi vya kutudhuru. Hivyo chanjo ikija, sitasikiliza maoni haya ya kuokoteza, wakati hata dawa tu za malaria hatuna, tunaagiza chemicals hizo kutoka huko huko.
Nikutakie Kila la Heri katika kupata Chanjo ya Corona
 
Soon Tanzania tunapokea chanjo. Mataga jiandaeni kisaikolojia chanjo ni lazimama sio ombi.
 
Nimejiuliza hili swali pia.... Sijapata Majibu
Haijadhibitishwa nchini kwao. Wao walichukua tu kuepuka deficit. Na hizi chanjo huwa zina expire. Expiry pamoja na mashinikizo ya mataifa mengine basi wameamua kutoa hizi.

Au wewe ungekua rais wa marekani ungegawa zile zilizokua approved ulabaki na ambazo hazijakua approved ilhali watu wako bado hujawachanja hata nusu?

Embu niambie Msweet mzuri
 
Back
Top Bottom