Marekani anaficha lengo lake kuu ,lengo la Marekani ni dolla vs yuan ya China

Marekani anaficha lengo lake kuu ,lengo la Marekani ni dolla vs yuan ya China

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Dunia inayumbishwa na Marekani ,yaani Marekani akicheka au akikohoa dunia inaitika namuu,kwa hiyo anachofanya Marekani ni kudhoofisha Yuan ya china isipate nguvu na mvuto ,yaani Dolla ndio iwe na mvuto duniani.

Leo Nawapa siri za ndani ni hivi katika dunia hii Noti ya kimataifa ni DOLLA mwanawane kwa hiyo kama anajitokeza mwingine kuikuza sarafu yake analimwa kichwa .

Mchina alikuwa ananunua mafuta kwa YUAN kule Venezuela hii ndio sababu Marekani kumlima kichwa venezuela kwa sasa amebaki Iran ambako mchina alikuwa ananunua mafuta kwa Yuan haya tuendele kucheki hii movie itafanikwa kama ya awali

:3Dance:
 
Nomaa Ukiwa juu siku ukidrop utapigwa kama ngoma so that's why USA wanapambana ili wasije kudrop
 
Leo Nawapa siri za ndani ni hivi katika dunia hii Noti ya kimataifa ni DOLLA

The Dunning-Kruger Effect Shows that People Don’t Know What They Don’t Know​


People with limited expertise in an area tend to overestimate how much they know—and we all have gaps in our expertise.


 
Back
Top Bottom