Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Mazoezi ya kijeshi wakishirikiana na kdf palee manda pier yanaendelea View attachment 986679View attachment 986680

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mazoez yanawasadia nini kama kila siku mnavamiwa na wasomali. Imeniuma sana shambulio la Leo wakufa raia wema wasio na kosa lolote . Nina uhakika hujuma(ukabila na siasa kuelekea uchaguzi mkuu) zilipo ndani ya vyombo vya usalama nchini kenya ndiyo chanzo cha hayo matukio ya hao maboya kulipua kila siku na kupoteza maisha ya raia wema humo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale shinbet waisrail walikuwa wamelala ? Waingereza na Wamarekani nao ? Beberu hana manufaa kwetu .... Poleni sana kwa shambulio.
 
Afrika hatuna jeuri za kujiita ally wala nini, ukizingatia hata makombora tunanunua kutoka kwao, angalia nchi zenye uwezo wa kutunisha misuli, kwa mfano Iran na Korea Kaskazni, wao wana viwanda vya kujitengezea makombora. Sisi tunaagiza kila aina ya zana za kivita. Hamna chochote kinachouniwa huku Afrika, hata simu anayotumia Magufuli wenu kule ikulu imeagizwa kutoka kwa hawa jamaa, mifumo yote ya mawasiliano, anachosema hata kwa siri anatumia vyombo vyao....hehehe

Vifaa tunavyonunua kutoka kwao huwa vya kutishia nyau wenzetu Afrika lakini sio wale, au unajidanganya hizo ndege chache za JWTZ zinaweza kumkuna sehemu yoyote Mmarekani akiamua kutembeza kibano Tanzania. Yaani ndege moja ya kisasa ya Marekani imetosha kuwapiga kichapo jeshi lenu na mshindwe kuidungua, itakua inashusha mabomu kwenu na kurudi kwenye aircraft carrier kuongeza mafuta na makombora na kurudi kuendeleza kichapo.

Kwa hivyo kupiga makelele eti hatutaki waweke hayo mavitu yao kwetu ni ujuha, wayalete tu.....hizo drones.

Zanzibar walithubutu na waliweza !! Au kama Zanzibar sio Afrika, basi ok.
 
Zanzibar walithubutu na waliweza !! Au kama Zanzibar sio Afrika, basi ok.

Hako kakisiwa JWTZ wamejaa huko sasa patakua na nafasi ipi ya wanajeshi wa kigeni kuja, uwepo wa wingi wa JWTZ ndio pia imechangia usalama dhidi ya ugaidi. Wakati nilikua Zenji nilikua nawaona hao JWTZ yaani wanatembea na madubwasha yao mbele ya raia, yaani wako wengi sana.
 
So kwa yeye kutokua Mtz ndio inakubabaisha na kumuona kama anayejua kukuzidi.
Halafu Waafrika wagani wanatuona mazwazwa, hivi unajua presence ya US military Africa ipo kwenye nchi nyingi ndani ya bara hili, sio Kenya tu.
Ni kwamba hawajawachagua nyie kuwekeza chochote cha maana kijeshi, na nahisi ndicho kinachowauma na kuishia na kauli za sizitaki mbichi.
We ni mtu fara sana joh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MK 254 poleni na kashkash za alishabaab.. Natumai mtafanya kila linalowezekana hivi visa visijirudie tena… Waafrika tuna changamoto nyingi mno zaidi ya kambi za kijeshi.. Asilimia kubwa ya watu wetu wanakunya porini bado.. Hawana umeme wala maji safi.. Madawa nayo mtihan sana.. Sijui nani katuroga
Hako kakisiwa JWTZ wamejaa huko sasa patakua na nafasi ipi ya wanajeshi wa kigeni kuja, uwepo wa wingi wa JWTZ ndio pia imechangia usalama dhidi ya ugaidi. Wakati nilikua Zenji nilikua nawaona hao JWTZ yaani wanatembea na madubwasha yao mbele ya raia, yaani wako wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The terror attack in Rivertree and other significant events throughout Kenya and Somalia must be viewed within the context of U S economic and strategic interests in partnership with its NATO allies. New findings of oil and natural gas are a source of imperialist interest in the region.

You may opt to reason why US and NATO troops in Kenya, Marekani inapenda sana Somalia that way mpaka iteketeze millions of dollars for its safety?

Kuna nchi yoyote ya Easten Africa is strongly advanced in nuclear power to the extent of being eyed as the threat to the US?

Nani wa kwanza kuhitaji uwepo wa mwenzake kwenye ardhi yake from the first place, is it the US or Kenya?

Somalia and Eastern African countries are rich in oil and natural gas, proved, ukitumia akili yako vizuri utajua US yupo Kenya strategically for his own interests.
kwa nini mmekubali kutumika
 
MK 254 poleni na kashkash za alishabaab.. Natumai mtafanya kila linalowezekana hivi visa visijirudie tena… Waafrika tuna changamoto nyingi mno zaidi ya kambi za kijeshi.. Asilimia kubwa ya watu wetu wanakunya porini bado.. Hawana umeme wala maji safi.. Madawa nayo mtihan sana.. Sijui nani katuroga

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika vizuri sana Much love and respect.

Poleni wakenya
 
Oh No!!! What a poor thinker Kenyans!! Definitely, they don't know what is coming for them!
Us has bases in Afghanistan, Iraq, Syria, Philippines, and Colombia I guess! But look critically the security situation in those countries!!
 
Ugaidi ni idea au fikra potofu ambazo zinapandikizwa vichwani mwa watu tangu utotoni kwenye shule za kidini hilo limedhibitika kule Pakistan, mashariki ya Kati nk. Wakati wanauwawa wengine, Wengine wanazaliwa . Ni Kama mbu ili utokomeze malaria angamiza sehemu ya kuzalishia weka mazingira safi. Mbinu za ziada zinahitajika badala ya makambi makubwa ya kijeshi Pekee. Russia wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa chechnyia Na Syria. Trump ameona hilo Syria na ameona hilo Afghanistan ( forever war) ameanza kuondoa wanajeshi huku akianza kutumia njia mbadala. Pole kwa wote waliopoteza ndugu na majeruhi kwenye mashambulizi ya ugaidi. Hawa magaidi wanapandikizwa roho ya unyama tangu utotoni hawana chembe ya huruma hata kidogo wanafurahia kufa.
Kwenye picha hapo chini ni Komandoo wa uingereza kutoka kikosi maalumu cha SAS akiwa kwenye uokozi.
Kwa mujibu wa mwandishi alikuwa Kenya kufundisha jeshi la Kenya , mashambulizi yalipoanza akawa miongoni kwa waliowahi kuokoa
 

Attachments

  • E474567D-9B28-4541-8575-F9EAA4F4CCFE.jpeg
    E474567D-9B28-4541-8575-F9EAA4F4CCFE.jpeg
    21.6 KB · Views: 17
  • 0FB77F03-E849-4DDA-A02B-4A26663D15EE.jpeg
    0FB77F03-E849-4DDA-A02B-4A26663D15EE.jpeg
    17.5 KB · Views: 19
Back
Top Bottom