kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Hayo mazoez yanawasadia nini kama kila siku mnavamiwa na wasomali. Imeniuma sana shambulio la Leo wakufa raia wema wasio na kosa lolote . Nina uhakika hujuma(ukabila na siasa kuelekea uchaguzi mkuu) zilipo ndani ya vyombo vya usalama nchini kenya ndiyo chanzo cha hayo matukio ya hao maboya kulipua kila siku na kupoteza maisha ya raia wema humo .Mazoezi ya kijeshi wakishirikiana na kdf palee manda pier yanaendelea View attachment 986679View attachment 986680
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app