kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Hayo mazoez yanawasadia nini kama kila siku mnavamiwa na wasomali. Imeniuma sana shambulio la Leo wakufa raia wema wasio na kosa lolote . Nina uhakika hujuma(ukabila na siasa kuelekea uchaguzi mkuu) zilipo ndani ya vyombo vya usalama nchini kenya ndiyo chanzo cha hayo matukio ya hao maboya kulipua kila siku na kupoteza maisha ya raia wema humo .Mazoezi ya kijeshi wakishirikiana na kdf palee manda pier yanaendelea View attachment 986679View attachment 986680
Sent using Jamii Forums mobile app
hawajui kuwa Marekani hanaga rafiki wala adui wa kudumu, kuna siku wategeukwaKwa hiyo mnajivunia?
Afrika hatuna jeuri za kujiita ally wala nini, ukizingatia hata makombora tunanunua kutoka kwao, angalia nchi zenye uwezo wa kutunisha misuli, kwa mfano Iran na Korea Kaskazni, wao wana viwanda vya kujitengezea makombora. Sisi tunaagiza kila aina ya zana za kivita. Hamna chochote kinachouniwa huku Afrika, hata simu anayotumia Magufuli wenu kule ikulu imeagizwa kutoka kwa hawa jamaa, mifumo yote ya mawasiliano, anachosema hata kwa siri anatumia vyombo vyao....hehehe
Vifaa tunavyonunua kutoka kwao huwa vya kutishia nyau wenzetu Afrika lakini sio wale, au unajidanganya hizo ndege chache za JWTZ zinaweza kumkuna sehemu yoyote Mmarekani akiamua kutembeza kibano Tanzania. Yaani ndege moja ya kisasa ya Marekani imetosha kuwapiga kichapo jeshi lenu na mshindwe kuidungua, itakua inashusha mabomu kwenu na kurudi kwenye aircraft carrier kuongeza mafuta na makombora na kurudi kuendeleza kichapo.
Kwa hivyo kupiga makelele eti hatutaki waweke hayo mavitu yao kwetu ni ujuha, wayalete tu.....hizo drones.
Hizo nyumba za mabox!When they leave the Infrastructure will be left to us making it a win win situation. Geza Ulole itabudi ukubali we lead the so called leaders.
Zanzibar walithubutu na waliweza !! Au kama Zanzibar sio Afrika, basi ok.
We ni mtu fara sana joh.So kwa yeye kutokua Mtz ndio inakubabaisha na kumuona kama anayejua kukuzidi.
Halafu Waafrika wagani wanatuona mazwazwa, hivi unajua presence ya US military Africa ipo kwenye nchi nyingi ndani ya bara hili, sio Kenya tu.
Ni kwamba hawajawachagua nyie kuwekeza chochote cha maana kijeshi, na nahisi ndicho kinachowauma na kuishia na kauli za sizitaki mbichi.
mamburura kweli hawa jamaa. Badala ya kujifanyia mambo yao wanasubiri Trump awafanyie. Magufuli hapendagi huo ujingaKwa hiyo mnajivunia?
Waache wachezee masharubu ya simba waone kile kitu kitakachowapata.Wanaiandaa kwaajili ya kuingia Tz kimkakati kwa visingizio vya kuwasaidia wananchi juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na udictator
Hako kakisiwa JWTZ wamejaa huko sasa patakua na nafasi ipi ya wanajeshi wa kigeni kuja, uwepo wa wingi wa JWTZ ndio pia imechangia usalama dhidi ya ugaidi. Wakati nilikua Zenji nilikua nawaona hao JWTZ yaani wanatembea na madubwasha yao mbele ya raia, yaani wako wengi sana.
kwa nini mmekubali kutumikaThe terror attack in Rivertree and other significant events throughout Kenya and Somalia must be viewed within the context of U S economic and strategic interests in partnership with its NATO allies. New findings of oil and natural gas are a source of imperialist interest in the region.
You may opt to reason why US and NATO troops in Kenya, Marekani inapenda sana Somalia that way mpaka iteketeze millions of dollars for its safety?
Kuna nchi yoyote ya Easten Africa is strongly advanced in nuclear power to the extent of being eyed as the threat to the US?
Nani wa kwanza kuhitaji uwepo wa mwenzake kwenye ardhi yake from the first place, is it the US or Kenya?
Somalia and Eastern African countries are rich in oil and natural gas, proved, ukitumia akili yako vizuri utajua US yupo Kenya strategically for his own interests.
Umeandika vizuri sana Much love and respect.MK 254 poleni na kashkash za alishabaab.. Natumai mtafanya kila linalowezekana hivi visa visijirudie tena… Waafrika tuna changamoto nyingi mno zaidi ya kambi za kijeshi.. Asilimia kubwa ya watu wetu wanakunya porini bado.. Hawana umeme wala maji safi.. Madawa nayo mtihan sana.. Sijui nani katuroga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wao hawapati usingizi kutokana na mtiti wa Al ShababToka mzee wa kazi Trump aingie madarakani tumeshudia upanuzi mkubwa wa kambi za kijeshi na foward operating bases.
Katika kambi ya simba iliyo kaunti ya lamu nchini, upanuzi umekuwa ni wa kasi mno along with more millitary hardware.View attachment 986655
Sent using Jamii Forums mobile app