Marekani: Babu aua watu 10 kwa risasi na kujeruhi 10 ukumbini kisha naye ajiua

Marekani: Babu aua watu 10 kwa risasi na kujeruhi 10 ukumbini kisha naye ajiua

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Tukio limetokea ndani ya ukumbi wa muziki wakati watu wenye asili ya Asia wakisherekea Sikukuu ya Lunar maeneo ya California.

Polisi wamesema mwili wa mshukiwa Huu Can Tran (72) umekutwa kwenye gari ikielezwa alijipiga risasi baada ya kuzingirwa na wanausalama.

Bado haijawekwa wazi sababu za kufanya hivyo kama ni chuki au kisasi. Waliouawa watano ni Wanawake na waliosalia ni Wanaume, pia Watu 10 walijeruhiwa na 7 kati yao bado hali za kiafya si nzuri.

marekani.jpg

++++++

California shooting suspect kills himself after Lunar New Year massacre

A gunman killed 10 people at a ballroom dance hall during a Chinese Lunar New Year celebration late on Saturday near Los Angeles before fleeing the scene and later killing himself when approached by police on Sunday, authorities said.

Los Angeles County Sheriff Robert Luna said during a Sunday afternoon press conference the motive for the shooting was not known. He identified the suspect as Huu Can Tran, 72, who wielded a pistol with a high-capacity magazine.

"We want to know, we want to know how something this awful can happen," Luna told reporters.

Luna said Tran turned a handgun on himself on Sunday morning as police approached a white van he was driving in Torrance, about 20 miles (34 km) from the site of the shooting at the Star Ballroom Dance Studio in Monterey Park.

Five of the victims were male and five were female, Luna said. Their identities have not been made public. Another ten people were shot, and seven of them remain hospitalized, with at least one person in critical condition, authorities said.

Source: Reuters
 
Mpaka sasa hawajajua Dini yake. But ugaidi pia una misingi na imani yake. So hapo tusubiri uchunguzi. Kama ni matatizo ya akili, ugaidi au chuki binafsi. Dini yake haijatajwa bado.
Ugaidi huwa unatafsirika kwa vitendo na sio dini.
 
Damu ya waafrika inawatesa sana wazungu (wengi hawatanielewa)
Ni kweli kabisa mkuu. Maana ukienda German, Norway, Canada, Australia, UK, France, Sweden, Denmark, Luxenburg, Uswiss, New Zealand na kwingineko kila siku wazungu huko wanauana vibaya na kwa wingi sana.

ila ninachojiuliza hivi pale Afrika kusini, Tanzania (wasiojulikana saga), Congo DRC, Somalia, Sudan na kwingineko huwa wanateswa na damu ya nani?
 
Sheria ya kumiliki bunduki waitazame kwa jicho la utu na si uhuru.

Watu wengi wasiokuwa na hatia wanakatishwa maisha yao kwa sababu ya sheria hiyo.

Hiyo sheria imetengeneza ugaidi usioimbwa
Marekani siyo nchi salama kuishi binadamu sheria zao zimeshaweka uhuru kiasi cha kupoteza maana ya Public interest na public safety.

Watu wanaishi kwa rules of the jungle.
 
Back
Top Bottom