Marekani: Babu aua watu 10 kwa risasi na kujeruhi 10 ukumbini kisha naye ajiua

Marekani: Babu aua watu 10 kwa risasi na kujeruhi 10 ukumbini kisha naye ajiua

Marekani siyo nchi salama kuishi binadamu sheria zao zimeshaweka uhuru kiasi cha kupoteza maana ya Public interest na public safety.

Watu wanaishi kwa rules of the jungle.
Mkuu, na ndio tunataka twende huko kuishi. [emoji23][emoji23][emoji23]

American dream...Land of opportunities

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sheria ya kumiliki bunduki waitazame kwa jicho la utu na si uhuru.

Watu wengi wasiokuwa na hatia wanakatishwa maisha yao kwa sababu ya hiyo sheria

HAIRUHUSIWI jimboni California kumiliki silaha aliyotumia babu. Kwa kesi hii tatizo halikuwa sheria huria.

images.jpeg

COBRAY M11 9mm
Pistol ya kiganjani inayotumia magazine

Usione limewashinda jambo hili la mass shooting ukadhani ni rahisi na kuwakosoa. Sisi tujikite na yetu ya kupambana na mijambazi ya kiserikali, na kuongeza matundu ya vyoo.
 
What is terrorism?
Ukijaribu kuchekicheki hi kitu unagundua dunia imejaa magaidi wasiotajwa hadharani kuwa huyu gaidi ,Yule gaidi Bali tunaaminishwa ugaidi kwa namna ya moja kwa moja ya unasibishaji wa Jambo Hili na uislam.
Putin, Bush, Clinton, Rice, Blair nk ni magaidi
 
HAIRUHUSIWI jimboni California kumiliki silaha aliyokuwa nayo babu. Kwa kesi hii tatizo halikuwa sheria huria.

View attachment 2492589
COBRAY M11 9mm
Pistol inayochomekwa magazine

Usione limewashinda jambo hili la mass shooting ukadhani ni rahisi na kuwakosoa. Sisi tujikite na yetu ya kupambana na mijambazi ya kiserikali.
Mkuu Uhuru wa marekani na silaha ni Chanda na pete.
Wamarekani wanakili kuwa hilo ni tatizo lakini wanasema ukiwa na disarmed society ujue hapo hmna Uhuru wamejifunza kutoka kwa disarmed society.
 
JumHAIRUHUSIWI jimboni California kumiliki silaha aliyotumia babu. Kwa kesi hii tatizo halikuwa sheria huria.
View attachment 2492589
COBRAY M11 9mm
Pistol ya kiganjani inayotumia magazine

Usione limewashinda jambo hili la mass shooting ukadhani ni rahisi na kuwakosoa. Sisi tujikite na yetu ya kupambana na mijambazi ya kiserikali, na kuongeza matundu ya vyoo.
Jumuia ya watengenezaji na wauzaji silaha hufanya lobbying kwa wanasiasa wasiunge mngono mkono jitihada zozote za serikalini kupiga marufuku umiliki was silaha
 
What is terrorism?
Ukijaribu kuchekicheki hi kitu unagundua dunia imejaa magaidi wasiotajwa hadharani kuwa huyu gaidi ,Yule gaidi Bali tunaaminishwa ugaidi kwa namna ya moja kwa moja ya unasibishaji wa Jambo Hili na uislam.
Putin, Bush, Clinton, Rice, Blair nk ni magaidi
Nonsense

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Matatizo ya akili yanawasumbua sana hao raia...
 
Back
Top Bottom