Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mkuu, na ndio tunataka twende huko kuishi. [emoji23][emoji23][emoji23]Marekani siyo nchi salama kuishi binadamu sheria zao zimeshaweka uhuru kiasi cha kupoteza maana ya Public interest na public safety.
Watu wanaishi kwa rules of the jungle.
Kabisa na hapo ningewaelewa tu maana ndo wanakuwa na hizo tabia.Utaruka ruka ila angekua wa imani ile ni lazima wangesema huyo ni gaidi
huo ndio ukweli ambao inaonekana kama vile hutaki kuukubali.
Sheria ya kumiliki bunduki waitazame kwa jicho la utu na si uhuru.
Watu wengi wasiokuwa na hatia wanakatishwa maisha yao kwa sababu ya hiyo sheria
Ila ugaidi ukifanywa na wengine unakua sio ugaidi na wasiposema kua sio ugaidi,unawaelewa tu!Kabisa na hapo ningewaelewa tu maana ndo wanakuwa na hizo tabia.
Mkuu Uhuru wa marekani na silaha ni Chanda na pete.HAIRUHUSIWI jimboni California kumiliki silaha aliyokuwa nayo babu. Kwa kesi hii tatizo halikuwa sheria huria.
View attachment 2492589
COBRAY M11 9mm
Pistol inayochomekwa magazine
Usione limewashinda jambo hili la mass shooting ukadhani ni rahisi na kuwakosoa. Sisi tujikite na yetu ya kupambana na mijambazi ya kiserikali.
Jumuia ya watengenezaji na wauzaji silaha hufanya lobbying kwa wanasiasa wasiunge mngono mkono jitihada zozote za serikalini kupiga marufuku umiliki was silahaView attachment 2492589
COBRAY M11 9mm
Pistol ya kiganjani inayotumia magazine
Usione limewashinda jambo hili la mass shooting ukadhani ni rahisi na kuwakosoa. Sisi tujikite na yetu ya kupambana na mijambazi ya kiserikali, na kuongeza matundu ya vyoo.
Hiyo nchi kufa kwa kupigwa bunduki na vichaa ni jambo la kawaida tu.Mkuu, na ndio tunataka twende huko kuishi. [emoji23][emoji23][emoji23]
American dream...Land of opportunities
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
NonsenseWhat is terrorism?
Ukijaribu kuchekicheki hi kitu unagundua dunia imejaa magaidi wasiotajwa hadharani kuwa huyu gaidi ,Yule gaidi Bali tunaaminishwa ugaidi kwa namna ya moja kwa moja ya unasibishaji wa Jambo Hili na uislam.
Putin, Bush, Clinton, Rice, Blair nk ni magaidi
Sawa sawa mkuu lakini lazima twendeHiyo nchi kufa kwa kupigwa bunduki na vichaa ni jambo la kawaida tu.
Watu wanauana kama mavampire tu.