Marekani: Benki zaanza kukataa pesa za wateja wao

Kwa nini wasizitoe nje ya Nchi? Yan wawakopeshe wafanyabiashara wa mataifa mengine kwa riba nafuu
nani anafanya biashara kipindi kama hichi duniani ni tanzania tu ndio tunaishi kama tupo dunia ya kwetu peke yetu.
 
Inawezekana Mkuu, Kuna kipindi Mo alienda Bank za S.Africa kuomba mkopo kwa ajili ya biashara zake. Au kama vipi wakopeshe serikali za nchi mbalimbali ambazo zina uhitaji wa dola kwa riba nafuu. Hii inaweza kupunguza tatizo kidogo
pesa zinatoka kuna serikali toka corona imeingia wanasurvive kwa pesa za ruzuku kutoka nje huko mfano rwanda, kenya kiasi na nchi nyingine nyingii sisi tanzania ni maskini jeuri tu ingawa tunapokea hizo pesa kwa mkono wa nyuma..
 
So ina maana hilo tatizo ni baada ya pesa kutolewa?
 
nani anafanya biashara kipindi kama hichi duniani ni tanzania tu ndio tunaishi kama tupo dunia ya kwetu peke yetu.
Mkuu unahis biashara ifanyike physically? Biashara zinafanyika kama kawaida kama hujaon hilo bas
 
biashara haziendi kama kawaida haina maana kwamba watu wamesimamisha kabisa biashara ila biashara zisizo za lazima nyingi zimesimamishwa kwa sasa duniani
 
mzunguko wa biashara umepungua kwa kasi sana hivyo umesababisha mzunguko wa pesa kupungua kwa sababu mitaji ya watu ipo kwenye sehemu mbili kwenye bidhaa ambazo haziuziki sana kipindi hiki au zipo benki kwa sababu ya hali ya sasa watu wanahofu na situation iliyopo hivyo imepelekea banks nyingi hasa za biashara kuwa na kiwango kikubwa cha pesa watu wengi na makampuni wanahifadhi zaidi pesa kuliko kutumia.
 
Hizo fedha watu wanataka kuwek akiba bank wamezitoa wap? Kwa upande mwingin biashara zimefanyika sana hasa biashara za mitandaoni.
 
biashara haziendi kama kawaida haina maana kwamba watu wamesimamisha kabisa biashara ila biashara zisizo za lazima nyingi zimesimamishwa kwa sasa duniani
Kwa mfano mahoteli ya Dubai na China wakulima wa mazao ya chakula huko China walio kuwa wana lima kwa ajili ya kwenye mahoteli lazima wapo kwenye hali mbaya sana ata apa sidhani kama hoteli ilikuwa ina nunua kuku 200 kwa sasa kama wataweza nunua idadi iyo!
 
Wazikopeshe serikali za nje kwa makubaliano ya hizo serikali kuwakopesha wafanyabiashara kwa riba nafuu.

Tatizo wakimkopesha Jiwe atazikimbiza stigla joji
 
Back
Top Bottom