Marekani: Bilionea mwingine apanga safari ya kuchunguza Mabaki ya Titanic

Marekani: Bilionea mwingine apanga safari ya kuchunguza Mabaki ya Titanic

Itakuwa Ni masharti wanapewa na Illuminati, na huenda Kuna Siri na maagano wanafanya kulingana na damu zilizomwagika pale. Sio bure
Wazungu wanafanikiwa sana kwasababu wanaamini ktk kufanya kazi (sayansi na teknolojia)
Waafrika nchi zao masikini sana kwasababu wanaamini ktk nguvu za giza na miujiza.
 
Danieli 12:4 Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka. But thou, O Daniel, shut up the words, and seal the book, even to the time of the end: many shall run to and fro, and knowledge shall be increased.
Watu wanakawaida ya kumjaribu MUNGU kwa mabaya hasa zama hizi yule alotengeneza meli ya Titanic nae baada ya kumaliza kutengeneza aliandika kuwa “ The unsinkable ship” alafu ndani ya meli kulikuwa na wengine wanafanya dhihaka na ufuska ndani ya meli hivyo MUNGU aliamua kuwaonesha kuwa ni yeye tu ndo anapaswa kutumainiwa! Haya huyu nae anataka kuinoesha dunia hapo kwenye kauli yake sijaona aliposema kuwa MUNGU akinitangulia ntakuja na taarifa njema kwani bila MUNGU aloumba bahari ba vyote sisi wanadamu hatuwez lolote ila amejisifu so hapo bado kuna shida wacha tusubiri majibu! Tupo kwenye nyakati za mwisho mnoooooo! Hatupaswi kuwa mbali na MUNGU.
 
Larry Connor ambaye ni Bilionea Mmiliki wa Kampuni za Uuzaji wa Mali za Kifahari zisizohidhishika (Luxury Real Estate) na rafiki yake Patrick Lahey aliye Mtaalamu wa uchunguzi wa kina cha bahari wanapanga safari ya Manowari (Submarine) ili kuchunguza mabaki ya Meli ya Titanic

Hii ni karibu Mwaka mmoja baada ya ajali ya Submarine iliyotengenezwa na Kampuni ya OceanGate kulipuka na kuua Watalii Watano (akiwemo Afisa Mtendaji Mkuu wa OceanGate, Stockton Rush) waliokuwa katika Safari ya kuelekea kwenye Mabaki ya Titanic Juni 2023

Wawili hao wanapanga kutumia chombo kiitwacho Triton 4000/2 Abyssal Explorer (namba “4000” inahusu kina cha Mita ambacho chombo hicho kinaweza kushuka chini ya Bahari kwa usalama)

Akiongelea safari hiyo, Connor amesema “Nataka kuwaonyesha watu duniani kote kwamba ingawa bahari ina nguvu kubwa, inaweza kuwa ya kushangaza na kufurahisha na kubadilisha maisha kwa namna nzuri ikiwa utaenda kwa njia sahihi"

....,...........

US billionaire plans submersible trip

Triton Submarines The Triton 4000/2 Abyssal Explorer which two explorers plan to take to the Titanic wreckageTriton Submarines

The Triton 4000/2 Abyssal Explorer, which two explorers plan to take to the Titanic wreckage

A US luxury real estate billionaire and a deep-sea explorer are planning to travel in a submersible to explore the Titanic.

Ohio tycoon and adventurer Larry Connor and Patrick Lahey, co-founder of Triton Submarines, say they want to take a sub to a depth of around 3,800m (12,467ft) to see the shipwreck in the North Atlantic Ocean.

The private submersible industry was rocked after five people were killed when a vessel built by OceanGate imploded en route to the Titanic last year.

A spokesman for Mr Connor’s company said on Tuesday that the proposed voyage would only take place once a vessel was fully certified by a marine organisation.

There is no timeframe for the planned expedition.

The pair plan to use a sub dubbed the Triton 4000/2 Abyssal Explorer – the “4000” refers to the depth in metres to which the craft can safely be deployed.

The Titan submarine built by OceanGate was constructed of carbon fibre and was only certified to 1,300m, far short of the depths of the ocean floor where the Titanic wreck lay.

In June 2023 the vessel imploded while on a trip to the Titanic wreckage. OceanGate's chief executive Stockton Rush, 61, died on board alongside four other passengers: British-Pakistani businessman Shahzada Dawood, 48, and his son Suleman, 19, British businessman Hamish Harding, 58, and Paul-Henry Nargeolet, 77, a former French navy diver.

Mr Rush was known for pushing the envelope when it came to safety, and he had ignored several warnings from advisers about potential issues with the Titan. Investigations by US and Canadian authorities are ongoing.

Mr Connor told the Wall Street Journal, which first reported on the proposed Triton expedition: “I want to show people worldwide that while the ocean is extremely powerful, it can be wonderful and enjoyable and really kind of life-changing if you go about it the right way.”

The private submersible industry suffered after the Titan disaster, and the pair hope that a successful voyage will reignite interest.

OceanGate suspended operations and other firms reported cancelled orders and declining sales after the Titan implosion. Mr Lahey told the newspaper: “This tragedy had a chilling effect on people’s interest in these vehicles.”

Getty A rocket launch - Mr Connor also paid to fly to the International Space Station in 2022Getty

Mr Connor also paid to fly to the International Space Station in 2022

Mr Lahey co-founded Triton Submarines in 2008. Mr Connor is head of The Connor Group, a real estate investment firm based near Dayton, Ohio.

In 2021, the duo ventured together in a submersible to the Challenger Deep and the Sirena Deep in the Mariana Trench. At nearly 36,000ft, the trench is the deepest point on the Earth’s seabed.

Triton Submarines has been contacted for comment.

Source: BBC
Safari hii hata hicho chombo hatutakiona walah.
 
naona anga wamezichoka kwa sasa wanahamia kwenye bahari
Inasadikiwa Dunia imefanya machache sana chini ya maji kuliko mengi yaliyofanywa angani.
Acha sasa tusikie siri zilizofichikana chini ya maji
 
Back
Top Bottom