Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

What is the underlying message of this story?
 
USA wananyonga watu harafu baadae wanakuja kuwasafisha tena kuwa hawana hatia bora wangefuta hiyo huku yao huko...
 

What is the underlying message of this story?
The messge behind this story is just to inform the world about the death sentences that are carried out in the world, that sometimes are againsts the human rights. But we as human beings we get lesson here that we must live in this World to obey and please God and to stay away from bad habits and risk factors that can endanger our life or affect us like not to do bad things to others like killing, oppressing like what kELVIN JOHNSON did becoz what goes around comes around.
 
Missourri Capital Punishment Lae(MCPL) for death Senteces wametoa baadhi ya picha na mahojiano mafupi aliyoyafanya bwana Kelvin Johson kwenye Death Row.👇
Hapa bwana KELVIN akiwa kwenye Death Row kabla ya mahojiano. Death Row ni chumba maalum ambacho wafungwa wanaosubiria kuuwawa ndio huwekwa.
 

Attachments

  • IMG_COM_20221128_1022_01_2073.jpg
    22.5 KB · Views: 6
KJ in D R, early yesterday


Pichani chini ni Kitanda maalumu kitakachotumika katika kifo hicho(Excution Bed).
 

Attachments

  • IMG_COM_20221128_1022_01_1480.jpg
    17.9 KB · Views: 6
VIDEO: Video hii inaomuonesha bwana Kelvin Johson akielezea hukumu yake na anavyojisikia kabla ya kutekelezwa kwa hukumu mwisho mwa week iliyopita.
Nafasi hii ya kutoa kauli ya mwisho na kuhojiwa hufanyika hata siku ya mwisho ya hukumu il kutoa nafasi kwa mtu huyu kutoa yale yote ya moyoni na kutubu.
 

Attachments

  • _ClemencyForKJ - Kevin Johnson on Death Row_ Missouri(360P).mp4
    1.5 MB
Hivi wapewa adhabu ya kifo ndani ya Marekani huwa ni watu weusi tu?
Watu weusi marekani ndiyo wanaaribifu kuliko jamii nyingine, wao kila wakati wanahisi wanabaguliwa.
 
Na hapo amekaa jela miaka rundo,angekuwa mtaani huyu si angekuwa na wajukuu angalau 20 kwa sasa? Civilization ya wamarekani weusi si tofauti na ya waswahili wa msanga ngongele,msichana wa miaka chini ya 20 kuwa mama ni kukosa ustaarabu
Ila mwanangu umelishwa vilivyo elimu na madesa ya kimagharibi kiasi kwamba unaanza kutuaminisha mwenye 20 yrs kuzaa si ustaarabu. Hivi ustaarabu Ni Nini?
Ni ajabu kwamba pengine unapinga msichana wa 20 year's kua na mtoto lakini unashabikia afanye ngono kwa kondom na wanaume wengi Kama washkaji zake.
Lakini pia Aya za uandishi wako zinaleta picha moja chafu kwamba kwa siku zijazo utaanza kutuaminisha usagaji na lqbtq Ni tabia za kistaarabu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
siku ya jumanne Nov 29, 2022. Alikamatwa tangu mwaka 2005 akiwa na miaka 19 na binti yake alipokuwa na miaka 2.
kwa hiyo mkuu kesho kitanzi kinalamba kichwa eee .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…