Saudia mji mkuu wa hijja Mecca Huko wanachinja watu kabisa kama capital punishment ,huyo mpuuzi sijui anaongea niniKivipi Mkuu? Au kwa sababu ya kunyonga? If that is the case, unayajua mataifa vinara wa kunyonga duniani?
... tena wanawaua kwa kuwapiga mawe hadharani na wanajamii wote huitwa kushuhudia!Saudia mji mkuu wa hijja Mecca Huko wanachinja watu kabisa kama capital punishment ,huyo mpuuzi sijui anaongea nini
Saudia Arabia na gulf states na nchi za wavaa kobaz kama Iran wanachinja kabisa watu ,tena kwa makosa madogo kama kuicriticize serikali .Subiri sasa povu la wamarekani weusi wa Nzega.
We ni mpuuz ,muwe mnafuatilia mambo kabla ya kucomment , idiotMimi mwenyewe huwa nashangaa mkuu linchi la hovyo sana hilo
Saudia Arabia ,Iran na nchi za wavaa kobaz mnaoua watu kwa kuwapiga mawe mpaka kufa na kuwachinja tena kwa watu kufanya starehe zao kama ngono ndio nchi za maana au sio ?Mimi mwenyewe huwa nashangaa mkuu linchi la hovyo sana hilo
Hawana hata ile dignity sense towards watu... tena wanawaua kwa kuwapiga mawe hadharani na wanajamii wote huitwa kushuhudia!
Vipi ikitokea akachomwa sindano kisha asife?Ningumu ila ni kukubali matokeo, leo hii ukiambiwa una terminal disease utajisikiaje? ndivyo hivyo. Ni kukubali matokeo, kifo sawa kulala fofofoo. Msala kwa waliobaki duniani.
Imeshawahi kutokea hiyo situation mara kadhaa(Lethal injection failure). Ikitokea hali kama hyo, victim anapangiwa tarehe nyingine ya kuuwawa. Lakin hali hii hutokea ktk kifo kinachotokana na lethal gas, lethal poison au kifo kinachotokana na kurushwa na umeme mkali(Electrocution). Na kifo hiki ndicho chenye maumivu zaidi, lakini kitanzi huwa hakifail(Hanging)Vipi ikitokea akachomwa sindano kisha asife?