Marekani Dunia anaionaje?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo.

Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha

Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake wengine wakifanya anakemea.

Yeye anafanya baishara atakavyo- wengine wakifanya anawaekea vikwazo.

Hivi anaonaje wengine? kama hawana haki yoyote duniani?

Anasahau kulikuwa wanatawala wengi duniani wenye nguvu hivi sasa mataifa hayo yamekuwa historia tu?
 
Tawala za Zamani nitofauti na Tawala za Sasa hivi kusubili USA Idondoke Kwenye Tawala hii ya Dunia ya Leo Ni Bado Sanaa Sababu USA hafanyi Kitu peke yake Lazima Ashilikiane na Wenzake Haswa EU Au NATO Wazo la Mmoja ni Wazo Wa Wote Na umoja ni Nguvu
 
Hiyo ndio maana ya superpower.
 
Hiyo inaitwa Hypocrisy. Dunia nzima inajua Marekani ni Hypocrite na haina cha kuifanya. Ila hiyo nguvu yake lazima itafika mwisho soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ