Ndo maana kuna vigezo vya mtu binafsi kumiliki silaha za moto( bastola)Hii Dunia imekaa kimchongo chongo,ukitaka haki utaipata mbinguni sio hapa Duniani.
Ww angalia Israel ana silaa za nyukilia,lakini Iran wanampiga vita asiwe nazo.sasa unajiuliza kwa nini Israel aruhusiwe Iran asiruhusiwe.