Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

Dunia hii ina vichaa wengi kila kukicha sisi tunadaiwa, sijawahi kusikia TANZANIA tumeshinda kesi labda mtu amuuwe mtu hadharani ndo anaweza kutwa na hatia lakini akiwa nazo chenji anashinda lakini kesi za madai daily sisi tunapigwa tu
 
Punit Ugandamal Purshottam ntakutafuta unipe change kidogo mwanangum
 
Kwa harakaharaka hiyo figure mpya ya deni,ni ongezeko la 2,287% ukilinganisha na deni asilia....Labda upande wa Jamhuri,ungetafuta kampuni nzuri ya ‘kesi nene’ kama “Stallion attorneys” huwa wamezoea kesi zenye miamala tatanishi kama hii
*Vinginevyo wawahi,isije ikaenda WTO(world trade organization) kama shauri la Kimataifa,yatakua mengine....
Kwani ndege zetu zote zilishatoka huko?
 
Uko Sawa kabisa ndugu,ni kweli...ila kile ni kama ‘kimashine cha USA’ na ndio maana hata makao makuu yapo huko na kesi kama hii inaihusu USA [emoji631] moja kwa moja...na Marekani HASA AWAMU HII wanalinda sana maslahi ya makampuni yake....ndio maana Trump ameweka tariffs dhidi ya bidhaa China [emoji630] ($500bn)....hawawezi shindwa kupigania $119ml ni kesi nyepesi kwao kwa uzoefu uliopo
Twaafwaaaaa
 
Kwa harakaharaka hiyo figure mpya ya deni,ni ongezeko la 2,287% ukilinganisha na deni asilia....Labda upande wa Jamhuri,ungetafuta kampuni nzuri ya ‘kesi nene’ kama “Stallion attorneys” huwa wamezoea kesi zenye miamala tatanishi kama hii
*Vinginevyo wawahi,isije ikaenda WTO(world trade organization) kama shauri la Kimataifa,yatakua mengine....
Nimependa ulivyotoa ushauri ni njia chanya ya kuisaidia nchi yetu.
 
Back
Top Bottom